Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
- #41
Kwanini boss..Hii nchi ngumu sana kuendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini boss..Hii nchi ngumu sana kuendelea.
Waambie hao mkuu. Alafu huku mapumziko ya siku moja tu ya ziada watu povu linawatoka balaa..Hapo ukisema waafrika unakosea patupu! Hivi hujui Ulaya hii ni festive holiday kabisa ya watu kusafiri mpaka vacation nchi nyingine?
Kuna mtu alimuomba Rais Ijumaa iwe siku ya mapumziko.Kwanini boss..
Yes. Kwa self-employed individuals kama fundi seremali au mason, hata hiyo December 25 yenyewe anaenda job kama kawaida..Waajiriwa ni kawaida yao.
Public office zinafungwa au mtu yeye na familia yake wanapanga safari?Hapo ukisema waafrika unakosea patupu! Hivi hujui Ulaya hii ni festive holiday kabisa ya watu kusafiri mpaka vacation nchi nyingine?
Sio kila Ijumaa inapaswa kuwa ni siku ya mapumziko boss. Hii Ijumaa yangu nimeitolea ufafanuzi nadhani.Kuna mtu alimuomba Rais Ijumaa iwe siku ya mapumziko.
Mwananchi aomba siku ya Ijumaa iwe siku ya Mapumziko
Kwanini hatutaki kufanya kazi? Especially sisi waajiriwa?
Nimekusoma boss. Ila hii ni sababu ya kidini. Imagine mtu wa dini nyingine anaenda ofisi fulani anakuta imefungwa watu wapo likizo.Siku kila Ijumaa inapaswa kuwa ni siku ya mapumziko boss. Hii Ijumaa yangu nimeitolea ufafanuzi nadhani.
Huu ni ushauri tu na sio lazima KUUFANYIA kazi.Waongezewe siku za mapumzoko kisha watadai nyongeza ya mshahara.
Asante sana kwa ufafanuzi wako mkuu..Watumishi wa umma ni asilimia ndogo sana kati ya mamilioni ya Watanzania.
Na hizo amri za kupumzika haziwahusu sekta binafsi, hivyo anayejisikia kupumzika ijumaa anaweza kujipumzikia bila busara ya Mkuu wa nchi.
Lakini pia tunaona siku za mapumziko zinapokuwa mfululizo baadhi ya taasisi kama mabenki huamua kufanya kazi ili kutoa huduma kwa wananchi, hata kama kuna ruhusa kwa busara za Mkuu.
Kwa hiyo ni wewe tu ukiamua kula bata wiki nzima, byee!
Private sectors wanafanyisha watu kazi mpaka Jumamosi. Wafanyakazi wanapumzika siku moja tu. Tunduma nilikuwa ninafanyishwa kazi siku 7 za wiki..Sema wale Jamaa walio amua kuwa kazi iwe siku 4 za week na si 5...wale hawatoki bara Afrika lakin
Duuh, siku nzima kijiweni?? 8 hours??Ni kweli hawana kuenda kwenye sports au recreation parks wanashinda tu vijueni kupiga kelele za simba na Yanga siku nzima.
Hahahaaa sawa mkuu..Iwe siku ya kufanya usafi
Duuh, Yani siku moja tu ndio inawatoa roho hivi?? Aisee..Ukakae mitaani,ujiongezee stress na madeni!
Hahahaaaa..Lala mapema!
Ndiye mkuu wa nchi na hilo ni suala la kitaifa..Mapumziko yako hadi Rais atoe tamko
Massawe ndio nani tena huyo mkuu??..Ustarehe uwe nazo,sio kujilimbikizia madeni kama Massawe!
Pia yanaitia serikali faida kwa kuwa na wafanyakazi wenye afya njema ya akili..Sasa si uje ujipumzishe mwenyewe siku hiyo ya Ijumaa badala ya kulazimisha nchi nzima ipumzike mkuu? Unajua mapumziko ya siku moja tu yanaitia hasara serikali kwa kiasi gani?