PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

Hapo ukisema waafrika unakosea patupu! Hivi hujui Ulaya hii ni festive holiday kabisa ya watu kusafiri mpaka vacation nchi nyingine?
Waambie hao mkuu. Alafu huku mapumziko ya siku moja tu ya ziada watu povu linawatoka balaa..
 
Hapo ukisema waafrika unakosea patupu! Hivi hujui Ulaya hii ni festive holiday kabisa ya watu kusafiri mpaka vacation nchi nyingine?
Public office zinafungwa au mtu yeye na familia yake wanapanga safari?
 
Siku kila Ijumaa inapaswa kuwa ni siku ya mapumziko boss. Hii Ijumaa yangu nimeitolea ufafanuzi nadhani.
Nimekusoma boss. Ila hii ni sababu ya kidini. Imagine mtu wa dini nyingine anaenda ofisi fulani anakuta imefungwa watu wapo likizo.

Just saying,
 
Watumishi wa umma ni asilimia ndogo sana kati ya mamilioni ya Watanzania.
Na hizo amri za kupumzika haziwahusu sekta binafsi, hivyo anayejisikia kupumzika ijumaa anaweza kujipumzikia bila busara ya Mkuu wa nchi.
Lakini pia tunaona siku za mapumziko zinapokuwa mfululizo baadhi ya taasisi kama mabenki huamua kufanya kazi ili kutoa huduma kwa wananchi, hata kama kuna ruhusa kwa busara za Mkuu.
Kwa hiyo ni wewe tu ukiamua kula bata wiki nzima, byee!
Asante sana kwa ufafanuzi wako mkuu..
 
Sema wale Jamaa walio amua kuwa kazi iwe siku 4 za week na si 5...wale hawatoki bara Afrika lakin
Private sectors wanafanyisha watu kazi mpaka Jumamosi. Wafanyakazi wanapumzika siku moja tu. Tunduma nilikuwa ninafanyishwa kazi siku 7 za wiki..
 
Mnaolipwa mwisho wa mwezi mna tabu sana.
sisi wenzio tunavyoingia ndivyo tunavyolipwa..
nikilala siku moja ya wiki.nimekosa 16,700.nimekosa nssf nimekosa chakula Cha mchana Bure.sipendi sikukuu hizi ila tu Sina namna
 
Sasa si uje ujipumzishe mwenyewe siku hiyo ya Ijumaa badala ya kulazimisha nchi nzima ipumzike mkuu? Unajua mapumziko ya siku moja tu yanaitia hasara serikali kwa kiasi gani?
Pia yanaitia serikali faida kwa kuwa na wafanyakazi wenye afya njema ya akili..
 
Back
Top Bottom