Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

Wanajiona special sana hawa creatures and never identify themselves as broke but will never date a broke nigga
 
Umenena vyema🤝
 
Nimemchana, acheni Ujinga mnatunza pesa zako chai utumie pesa za wenzio... Hii Tabia ni ya kishenzi....
Mpaka ananiita Bairi, okey Mimi bairi wee ambae sio bairi umenunua Nini.
Bairi
Bairi
Bairi? Kazini kwenu wanaajiri wasiojua kuandika ?
Bahili.
 
Kuna taasisi moja kubwa nilikuwa najitolea pale na inajulikana hivyo na staff wote ila kuna dada mmoja alikuwa mstari wa mbele kuomba lunch, nikawa namtafakari sana kuna siku nikamwambia aache kunitukana indirect, tabia yake ikakomea hapo.
Ungekula kimasihara tu kufidia pesa zako za lunch
 
Nunuria wenzio ranchi bwana, dipresheni zipo tu🤣
Nanunuaga sana ranchi ni vire wananichukuriaga poa.

Ila kazini 🙌🙌🙌
Kuna dada nilimpa kodi fulani ya kupata pesa ambayo tayari alikuwa ashaipoteza, akaniahidi 10% ile ela ikiingia nmgaramikie na ranchi kama wiki hivi hadi hela yake itakapoingia. Hela ikaingia sikuambulia hata mia yake mbovu kaishia kusema nakuombea kwa Mungu akubariki 😂
 
Hao wenzako wanaokuomba ni kwa sababu wanajua wewe ni jizi hapo kazini hivyo una kipato cha ziada zaidi yao. Ukitaka kutokuombwa acha wizi na ofisadi wewe bado kijana mdogo...
 
Ndomana Pdidy alikuwa anawatindua si wanawake si wanaume

Ova
 
Sisi hatunaga hera jamani, mtuerewe tu. Kikubwa tunawaombea kwa Mungu awabariki🤣🤣🤣
 
Sisi hatunaga hera jamani, mtuerewe tu. Kikubwa tunawaombea kwa Mungu awabariki🤣🤣🤣
Hizo baraka zielekezeni kwenye familia zenu, kuna mwingine aliniagiza vitu hela ikapelea akaomba nimjazie atanipa kesho yake, kwa sasa ni mwezi wa pili unakatika ananizungusha zungusha tu sijui ndio anataka anilipe kivingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…