Psychologically inawezekana, maana hapo anatumia nguvu kubwa kuidanganya di.ck yake kuwa anapiga mechi!!

Sasa siku akipiga mechi live mawazo atayapeleka wapi??
 
Tatizo sio sio sabuni au kusugua, tatizo lipo kisaikolijia zaidi hivyo upige hiyo silencer au ile iliyozoeleka mwisho wa siku zote zinahusisha kuihadaa akili yako
 
Kama jamaa yuko hivyo daladala anapanda kweli, nafkri tusubir kidogo utasikia anakesi ya kusudio la kubaka
 
John Ezekiel
Hii inakuwaga na madhara bt kama atafanya kwa muda mrefu , inamfanya apoteze kumbukumbu.

Ni had aache na aanze kujitibu tatzo la kumbukumbu la sivyo usahaulifu utakuwa ugonjwa wake

Faida yake moja ni kuwa atakapokuwa anapiga mech ya ukweli ukweli atakuwa anachelewa sana kumaliza ,na itakuwa ni rahis kwake kujicontrol kuwa amalize muda gan,

I dont recommend this pia japo ndo the safest way ya punyeti ever.
 
Last edited by a moderator:
Punyeto ni mbaya sana. Ukizoea siku ukija kukutana na mwanake ndiyo utaipata habari yake.
 
Masturbation sio mbaya kamwe, ask medical practitioners like Gynacologists and they will tell you masturbation has no negative effect in the body whatsoever. It does not cause Erectyle Dysfucntion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…