Hahaha duh! That's a real savage right there, huyu jamaa si wa kumruhusu acheze muziki wala kugusana na Manzi wako. Sipatii picha hizo ramani kwenye mashuka na bed-cover.
Tatizo sio sio sabuni au kusugua, tatizo lipo kisaikolijia zaidi hivyo upige hiyo silencer au ile iliyozoeleka mwisho wa siku zote zinahusisha kuihadaa akili yako
John Ezekiel
Hii inakuwaga na madhara bt kama atafanya kwa muda mrefu , inamfanya apoteze kumbukumbu.
Ni had aache na aanze kujitibu tatzo la kumbukumbu la sivyo usahaulifu utakuwa ugonjwa wake
Faida yake moja ni kuwa atakapokuwa anapiga mech ya ukweli ukweli atakuwa anachelewa sana kumaliza ,na itakuwa ni rahis kwake kujicontrol kuwa amalize muda gan,
I dont recommend this pia japo ndo the safest way ya punyeti ever.
Masturbation sio mbaya kamwe, ask medical practitioners like Gynacologists and they will tell you masturbation has no negative effect in the body whatsoever. It does not cause Erectyle Dysfucntion
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.