Hili ni tatizo la kisaikolojia kutokana na adha inayomkuta ila kubwa kuliko vyote ni tatizo la mishipa yake ya uume kutokuweza kuisukuma damu vyema kupelekea kutokuweza kuhili perfect erection, kujichua inaweza kulalamikiwa kuwa ni sababu lakin logically sio hivyo. Huyu anatakiwa apate tiba kwanza ya kuimarisha misuli yake iweze kupitisha damu ipasavyo, pia aweze kuzalisha mbegu za kiume kwa wingi. Mimi na ninyi wenye tatizo mnaweza kunipigia kwa 0718265581, 0686907486, niweze kuwapa ushauri wa nn atumie ili arudi katika hali yake ya kawaida na ninyi ndo mtakaokuja kuleta hapa mrejesho. Kila la kheri na pole sana
 

Ahsante sana kwa ushauri yani na hiki ndio nilichokuwa nahitaji nilitaka nipate experience ya mtu aliwahi kupata hii shida maana wengine they make fun of it kwasababu hawaelewi how it is and how it feels,nitafanyia kazi ushauri
Ubarikiwe mkuu
 
Ahsante sana kwa ushauri yani na hiki ndio nilichokuwa nahitaji nilitaka nipate experience ya mtu aliwahi kupata hii shida maana wengine they make fun of it kwasababu hawaelewi how it is and how it feels,nitafanyia kazi ushauri
Ubarikiwe mkuu

Any time mwambie asikate tamaa ila aamue
 
Masturbation causes erectile dysfunction?

Per who/ what research/ study?
 
Poleni SANA ila nendeni kwa Dr. pia atawafahamisha zaidi nini cha kufanya japo inaonekana kutojiamini kunachangia zaidi, Jaribu kumuonyesha kuwa kwako hilo sio tatizo (japo moyoni ni tatizo) ila Muonyeshe uko sawa na ulizungumzie katika hali ya kawaida wakati mnashauriana kwenda kwa Dr. Nadhani ile kukuuliza mara kwa mara labda anakuona wewe jinsi unavyokuwa mnyonge au unavyolichukulia lile jambo ndio maana anakuuliza mara kwa mara kama unampenda n.k. Waoneni wataalam.
 
mwambie ajaribu Mazoezi ya kegel, yataimarisha uume wake. Yanafanywa kwa kukanda uume kwa kutUmia mafata ya nazi au olive oil, Unayapàka viganjani halafu Unapasha Moto viganja then unajichua uume taratibu kwenye misuli yake asubuh na jion
 
huyo ana matatzo yake binafs,watu master mwaka wa 20 huu,lakin ukiniletea mbunye inagongwa kama kawaida
 
Hiyo nimeipiga tangu mwaka 1998 mpaka mwaka juzi nilipooa,ila mpaka waifu analalamika kuwa namchosha na siridhiki.
Nadhani na vyakura vinchangia,make huku ugali wa mahindi/muhogo,viazi aina zote,matunda aina zote.Nadhani hawa watoto wa chips mayai hawawezi kuimudu masta.
 
Ahsante sana kwa ushauri yani na hiki ndio nilichokuwa nahitaji nilitaka nipate experience ya mtu aliwahi kupata hii shida maana wengine they make fun of it kwasababu hawaelewi how it is and how it feels,nitafanyia kazi ushauri
Ubarikiwe mkuu

Tatizo unakutana nae usiku mmoja asubuh mwaachana.. Thats wrong.

Toroka nae, kakae nae mafichoni mwezi hvi., mnapigana tu. Asipopona na hapo basi achana nae.
 
Masturbation causes erectile dysfunction?

Per who/ what research/ study?

Hata mimi nashangaa mkuu,sijui huu uongo na uzushi wanautoa wapi kuhusu punyeto. Sijawahi kupiga punyeto ila sio chanzo cha ED.

Nadhani haya ni mafundisho ya wale waganga wa kienyeji na madokta njaa wa tiba mbadala ukitembea kila mahala katika jiji la dar unawqkuta wamekusanya watu wanawaambia kua punyeto ndio chanzo cha ED wakati hata utafiti hawajafanya wala shule hawajaenda.

Watu wako addicted na illusion,chovjote ukiwambia wanaamini.
 
Huyo mwanamume siyo impotent. Aende hospitali aonane na wataalamu wa tiba. Kuendelea na majaribio mengine ni kupoteza muda.
 
Kwa wale wanaobisha kama tatizo hapa ni punyeto watakuwa wanabisha bure. Vijana achani kujiridhisha kwa njia hii, haya ndio madhara yake. Hebu fikiri kama kwa kutumia mikono tu inaweza kujofikisha kileleni utakapokuwa na mwenzio inakuwaje, kukutana na mwenzio kunahitaji kwenda hatua kwa hatua sasa kama wewe kirahisi tu safari imeisha ujue itakuwa kirahisi hivyo hivyo utakapokuwa na mwenzako. Wako wachache ambao kwa bahati haiwasumbui, lakini matatizo mengi kwenye ndoa hiki ndio chanzo na ukitaka kujua ukubwa wa tatizo tazama mata ngazo ya waganga wa kienyeji!.
 
Mdau mbona kama umepaniki sana!

Nimepaniki wapi?

Unajua maana ya kupaniki wewe au unatumia tu maneno bila hata kujua maana zake?

Hakika kama unaona nimepaniki basi wahi ukapimwe akili maana waweza kuwa na dalili za ugonjwa wa akili kwa sababu unaona maruerue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…