Mwanawalwa
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,014
- 300
Achana na huyo anakupotezea muda tu,njoo kwangu nikupe maraha.
dah kwani yule chotara wa kigiriki na mchaga umemwaga , dah wanaume ni noumer aisee natania mkuu usimaindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na huyo anakupotezea muda tu,njoo kwangu nikupe maraha.
Dah ushauri mwingine mzito hadi kuusoma
Sijui maelezo aliotoa umeyapitia vimzuri
Mimi nilishawah kua muanga wa nyeto tangu primary o level high schooladi chuo nakumbuka kuna mzee aliniambia amua utaacha lakini Fanya sana mazoez Acha picha za ngono kula vitu vya asli mfano mboga mboga maziwa achana na mikaango kama ukidumu kwa mda wa miez mitatu jitahid ifike mitano ikibidi mwaka nilifanya hivyo kwa kua nia ilikua kuacha ili jogoo wangu awike kama kawaida Mungu mkubwa nilianza pata nafuu na kikubwa kilichonitesa ni kushindwa kumfikisha demu wangu kwa one against one labda mpaka nimmassage sana kwa namna flani mpaka afike ilinitesa lakini I thanks EPL ilinitoa mawazo sana na nilifanya mazoez kama nataka kushiriki mashindano ya kimataifa yani jioni ilikua lazima jogging believe me nilianza kusimamisha taratibu mpaka ikafikia wakati kama imechomelewa na nikawa nakung'uta mashuti nikiamka namuona mtoto anatabasamu basi naona dawa nikuzidisha mazoez mpaka sasa i.ekua kama sehemu ya utamaduni wangu Nb; usiache kula vitu asilia. kiukweli gharama ya kucure madhara ya nyeto ni kubwa please mwambie dawa ni mazoez siyo na kikomo na kula vitu aslia asiruhusu mawazo at oll utampenda huyo NISIKILIZE MIMI NILISHAWAHI TAABIKA kama huyo jamaa yani ulivyoweka hii thread umenikumbusha mbali sana.
Ahsante sana kwa ushauri yani na hiki ndio nilichokuwa nahitaji nilitaka nipate experience ya mtu aliwahi kupata hii shida maana wengine they make fun of it kwasababu hawaelewi how it is and how it feels,nitafanyia kazi ushauri
Ubarikiwe mkuu
Masturbation causes erectile dysfunction?
Per who/ what research/ study?
Masturbation causes erectile dysfunction?
Per who/ what research/ study?
Ahsante sana kwa ushauri yani na hiki ndio nilichokuwa nahitaji nilitaka nipate experience ya mtu aliwahi kupata hii shida maana wengine they make fun of it kwasababu hawaelewi how it is and how it feels,nitafanyia kazi ushauri
Ubarikiwe mkuu
Masturbation causes erectile dysfunction?
Per who/ what research/ study?
Mdau mbona kama umepaniki sana!