Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Akimaliza akitaka kurudia round ya pili ni kwa kulazimishia yani anakuwa hayupo fully erect sometimes anaweza akawa anatamani kabisa kufanya lakini in the middle of kufanya tendo nasikia kabisa kwamba jogoo amesha sinyaa basi inabidi tuishie hapo mpaka after a while tunajaribu tena kuna kipindi mazoezi alikuwa anafanya lakini sasa naona ameacha

jaribu hivi kabla ya kwenda kwenye iyo kitu hakikisha amekula adi kashiba alafu asile vyakula ambavyo vinayeyuka mapema tumboni mfano chips make ukienda kwenye game ukiwa umekula chips utaumbuka endapo utakutana na mwanamke kama wewe ambae unakua umepania mechi. akishindwa kwa njia hiyo ndipo unipm kuna mtu anaweza msaidia.
 
Dada yangu hata mi tatizo la kutoenda sana lilinikuta na nilikaanalo miezi miwili ila tatizo kubwa ilikua ni kutojiamini ikapelekea kuathirika kisakolojia nilienda paka hospitari daktari alinihoji mambo mengi baadae akaniambia nimeathilika kisakologia ilinitia moyo nikajingua sina tatizo huwezi ameni kesho yake mpenzi wangu alikuja hali ilibadilika ghafla nilichapa mzigo paka akatehem mwenyewe toka siku hiyo hali haijajirudia tena jalibu kumpa ushauri ajiamini
 
My dear, kupenda kuna dwfinitions nyingi sana.
Ushauri wa haraka kwa hapa sidhani kama upo kwa mapana yake.

Ila wewe kama unatafuta mwenzi wa maisha tafuta anayekufaa wewe. Make sure anazo qualities unazohitaji kwenye future yako.
Inawezekana kuwa unatamani kujitoa sadaka pia mi poa as long as hutatumia hio sadaka kutafuta sifa au sympathy au kimdharau kaka wa watu.
Wewe sio nesi wala daktari wake.
Commitments baina yenu ziwe kuheshimiana kuaminiana kutunzana regardless.
Mapungufu ambayo najua na wewe unayo kama yeye ni muhimu msiyaweke mbele kama mnajikuta yanakaa mbele na hamna mamno mengine mazuri mnayopeana sidhani kama mtaishi kwa raha.
Ila pia kwa sie wakristu ndoa isiokuwa na tendo la ndoa sio ndoa.
Tafakari umamuonaje huyo kaka

-Ni mtu asiyeweza ku do? Unaogopa kumuacha asipate shida au wewe usikose mwingine? Usivunje ahadi? Usisemwe kuwa unachukia walemavu? Usiambiwe umeshindwa?
-Au ni mtu unayempenda anayekupa mapenzi na kukusuport mambo mengi na ukiwa nae unafurahi? Akiondoka unammiss? Mkiwa pamoja mnakuwa na nguvu ya mambo mengi? Anakujenga na wewe unamjenga?

Mmmh!!!!!!!!! umesema vema, mambo yakujitoa kafara ndio husababisha watu kutoka nje ya ndoa zao kushibishwa. ukizingatia kiumri bado binti mdogo sana.
 
hapo tatizo ni confidence tu. jamaa yako hana confidence.
mwambie a control diet, aache vyakula vyenye mafuta sana kama chips, ktimoto, nyama choma. afanye mazoezi, ale karanga kwa wingi. it can help.
 
Eiyer

Pamoja na ushauri huo hapo juu..., inabidi uwe rafiki yake sana akuzoee na asiwe na wasiwasi wowote, ajione yupo mikono salama unapokuwa naye....., uwe naye karibu, jiweke mazingira ya kufanya naye mara nying kadiri uwezavyo, usimpe mda akakumbukia yaleeeeeeeee...., ukigundua inakaribia kusinyaaa jifanye umeumia na unahitaji mpunzike ili mrudie badaye, jitoe ufahamu wakati unafanya kazi hii ya kurekebisha, fake orgasms ili kumpa confidence, usimpe mda mkawa mnazungumzia tatizo lake maana hali hiyo ndo inatoa confidence, wanaume hatupendi eti kama vile tunaonewa huruma vile, so zungumzieni mambo mengi tu as if hilo tatizo halipo kbs.
 
Last edited by a moderator:
Apo kuna mawili lakwanza ni confidence km si ilo bas ni msosi ale vyakula vya kueleweka na ashibe hasa aache chips mayai
 
pamoja na ushauri huo hapo juu..., inabidi uwe rafiki yake sana akuzoee na asiwe na wasiwasi wowote, ajione yupo mikono salama unapokuwa naye....., uwe naye karibu, jiweke mazingira ya kufanya naye mara nying kadiri uwezavyo, usimpe mda akakumbukia yaleeeeeeeee...., ukigundua inakaribia kusinyaaa jifanye umeumia na unahitaji mpunzike ili mrudie badaye, jitoe ufahamu wakati unafanya kazi hii ya kurekebisha, fake orgasms ili kumpa confidence, usimpe mda mkawa mnazungumzia tatizo lake maana hali hiyo ndo inatoa confidence, wanaume hatupendi eti kama vile tunaonewa huruma vile, so zungumzieni mambo mengi tu as if hilo tatizo halipo kbs.....

Huyu jamaa yake tatizo lake kubwa ni confidence,,pili inawezekana huyu ndo mpenzi wake wa pili au wa kwanza kabisa ndo maana anapoteza kujiamin kiasi icho..............ujue sisi wanaume ukiwa na hofu kabisa hakika ngoma haisimami au inasimama kidogo na kulala.........
 
The solution is a fact and afact is quiet a solution.. that is psychology. kila la kheri
 
mpunyeto mnaisingizia jaman kwa tuliosoma boys huyo alikuwa mkombozi wetu na hatujaathirika hata kidogo.

Hii ni excessive masturbation inayokwenda kuathiri mpaka ubongo jaribu kufanya utafiti kwenye mtandao utaona
 
mmmh!!!!!!!!! Umesema vema, mambo yakujitoa kafara ndio husababisha watu kutoka nje ya ndoa zao kushibishwa. Ukizingatia kiumri bado binti mdogo sana.

issue ndogo tu hiyo jamaa atfute madem wa kununua ajizoeze madem wa aina nyingi. Tatizo lake si kujichua ni kuanza kufanya uzeeni unajikuta unamhemko wa ajabu ata ukiona chupi imeanikwa we tiari anywe na pombe kali na ajitoe ufahamu ,aweke busara mbali waati wa operation awe mhuni kwelikweli kama chizi atapona ndani ya miezi miwili
 
mshauri aende muhimbili national hospital akaonane na daktari wa masuala ya uzazi, kwa jina la kitaal mu(UROLOGIST),hilo tatizo linatibika vizuri, kuna sababu nyingi zinachangia hilo tatizo msiisingizie nyeto.
 
Kuna watu wengi sana wanajichua na walijichua kwa muda mrefu sana na hawakupata madhara ya aina hiyo

Pamoja na hilo haimaanishi kuwa hakuna mwenye kuweza kupata madhara,wapo na huyo ni mmoja wao

Kama alivyosema madhara ya kujichua ni ya kisaikolojia zaidi hivyo yanaondolewa kwa ushauri na sio vidonge

Huyo kwanza anatakiwa alikubali tatizo lake kuwa analo halafu aanze kujiamini kuwa anaweza kufanya ngono bila kutazama porn

Vijana wengi nikiwemo mimi tumeangalia ssna porn na kujichua sana tu lakini madhara yanatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kulingana na namna ya kujiamini na kulichukulia suala lenyewe kulivyo

Ni kweli ukijichua kuna wakati hamu ya mwanamke inakuwa haipo kabisa hata kama unae kitandani lakini hilo ni suala la fikra tu

Shida imeongezeka kwa huyo jamaa baada ya kuanza kuogopa na kuhisi utamuacha,hapo tatizo limeongezeka mara dufu

Kitendo cha kuwa na hofu ya kuachwa kumesababisha jogoo asiwike kabisaaa ...

Hofu inaweza kusababisha jogoo asiwike hata.kwa mtu ambae hajawahi kujichua hata mara moja hivyo hofu jumlisha kujichua kumemfanya huyo jamaa jogoo wale asizi kabisa

Hili ni tatizo.la muda na ni dogo sana kwani akizoea kukutana na wewe halitakuwepo tena

Mwambie awe anakunywa maji mengi hasa asubuhi,atumie ndizi mbivu kwa wingi,kuwa nae karibu ili kumpunguzia hofu na wasi wasi nabtaratibu utaona tatizo linaisha kabisa

Usiogope hilo la kawaida kabisa....

Well said Mkuu, kwa kuongezea tu hayo maji awe anakunywa kwenye mida ya saa kumi au kumi na moja alfajiri, alafu masaa mawili baadae awe anapata vijiko vinne vya asali..na mwisho kabisa msosi wake uandaliwe kwa kufuata uwiano sahihi wa virutubisho muhimu..
 
Mimi mwenyewe nilikuwa napiga sana punyeto, nikaathirika kisaikolijia nikawa ndani ya dk tano tu wazungu hao!! Nikabadili life style sasa hivi shemeji na wifi yenu anaomba poo kila tukiwa na mechi!
 
Mimi mwenyewe nilikuwa napiga sana punyeto, nikaathirika kisaikolijia nikawa ndani ya dk tano tu wazungu hao!! Nikabadili life style sasa hivi shemeji na wifi yenu anaomba poo kila tukiwa na mechi!

.ingekuwa vyema ungeeleza hata hiyo life style mpya ikoje..ila nimemsoma kama kasema jamaa jogoo kuwika asubuhi ni kwa kubahatisha kiasi nataka kuamini huyu jamaa ni mgonjwa.
 
kuna watu wameathiriwa na hiyo hali mpaka wamekuwa na tabia za kishoga lakini kwa siri sana, yani starehe yake ni yeye kufanywa

Jamani jamani.........hivi ni nini lakini wewe.......?...........
 
Inawezekana ana psychological problems.pia ukiwa nae jaribuni kuwa free sana ili aondowe wasiwasi.hii hali huwa ipo na inaweza kuwa sababu lakini pia inawezekana ana upungufu wa nguvu jaribu kumuelekeza ale chakula vya kumjenga vizuri pamoja na kunywa maji ya kutosha.pole sana dada atapona tu.
 
Back
Top Bottom