Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mkuu mimi nina mke pia,na nlikua mwanachama wa Chaputa kwa miaka 12,ila najitahidi sasa,nina miezi miwili sijapiga,japo namisi sana,chukua maamuzi magumu
papuchi siyo tamu kama punyeto mkuu?
 
Mmh huyu jamaa mbn noma nyeto wanapiga makapera zaidi bro ikimbie hali hiyo kwa mazoezi na kufanya mapenzi before uoge ikibidi oga na mkeo haezi kataa
 
Wadau salamu ziwafikie,

Nimeoa takribani miezi 7 sasa, lakini cha kushangaza kila siku asubuhi nikiwa naoga bafuni kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini ni lazima nipige punyeto.

Ndugu zangu ebu nisaidieni nini tatizo, nifanyeje ili niache tabia hii?
Jini mahaba hilo. Hata mm ninalo
 
Punyeto ni dhambi na machukizo mbele ya Mungu. Ni pm kwa ushauri nasaha jinsi ya kuacha.
 
Mimi huu ni mwaka wa 10 ni mfanya nyeto hatari sana, nami kama wenzangu najitahidi kuacha, nikijitahi sana kuacha ni wiki moja na nusu, pale pale narudi uwanjani kwa kasi na speed ila naweza kusema kuna baadhi ya madhara nayapata mfano katika kitanda nakuwa nachelewa sana kufika mwisho kiasi kwamba wanawake wengi wanashindwa kunimudu, naweza kuwa sijamaliza Trip hata moja ila mwenzangu akawa kashazunguka hata mara tatu ulimi nje, kitu ambacho kinanifanya nikija kumaliza round ya kwanza mwenzangu awe hawezi kuvumilia kuingia kwenye ligi kuu, So tatizo kwangu nkubwa ni kuchelewa sana kufika mwisho na mnara kuwa full ila kuna baadhi pia ya madhara mengine..
Ha ha ha haaaaa,umesema kweli mkuu,unaweza acha hata mwezi ila ukirudi sasa,ila bao la punyeto tamu sana
 
Aseee punyeto au kwakileo tunaita kujiongeza sometimes ikikolea utamu wake ni zaid ya kyuma..Halafu mie ni mwaka wa ishirini huu bado najiongeza we piga tu mkuu haina noma hiyo
 
Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.

Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua;

1. Inaharibu kizazi

2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Ingehitajika ukatoa na source ya informations zako...ili tujue kama sio habari za vijiwen...
 
Back
Top Bottom