optico
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 267
- 308
Jaribu kupitia comments zilizopita maelekezo yapoHayo mazoezi ya kegel ndo unafanyaje mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kupitia comments zilizopita maelekezo yapoHayo mazoezi ya kegel ndo unafanyaje mkuu?
Haina madhara yoyote kwako pind unapokutana na Shem wetuNjia sahihi ni ngumu sioni Hapa.. Mf: Nina miaka 42 Nina Mke Mara nyingi hajisikii kunihudumia! mpk iwe atakapo hitaji mwenyewe Dini niliyoko kifungo ni mke 1! tumecheki Afya tuko sawa na tumefunga makubaliano ya kuwa salama kujilinda! napomwambia siliziki nachafua nani anasema oa mke mwingine! ninapojaribu sioni anayekubali mkacheki Afya!! kisingizio unaulizwa unataka kunioa? kusema ndiyo kosa vsngizio kibao!! unaamua Shida zkzid ukomae na bed kusogeza siku
Hongera sana mkuu kwa kuipuuzia! Jana nilikuwa na miadili na demu kanizingua dakika za mwisho nikaona isiwe tabu nikaenda kushtua kamoja fasta!! Vita ya kupambana nyeto n kubwa sana kwangu!punyeto mi naapa sitorudia tokea nimeacha nimeona mabadiliko makubwa sana nguvu zimeongezeka na uwezo wa kufikiri pia
Tafuta mechi ya kirafiki kwanza, atakapo kuja huyo gf wako ujue kabisa wapi kuna makosa urekebishemimi pia ni muathirika mkubwa wa punyeto na story yangu ni kama yako kabisa,nilianza kupiga punyeto kipindi nipo boarding form 1 na nilipiga kwa muda wa miaka tisa mpaka nilivyoacha miezi sita nyuma baada ya kuona madhara ambayo kidogo nijitoe uhai wangu na kuamua kuwa mlevi wa kupindukia.,nilikua napiga nyeto karibu kila day nkikosa labda siku hiyo nimeenda ugenini na hata huko ugenini naeza piga hata nkiwa bafuni,sikua na dem kwa kipindi chote hicho nlikua napiga kitabu fresh tu skul nafanya vizur na sikuwa mlev wa kilev chochote isipokua puli.
mwaka jana mwishoni nikaamua kuyabadili maisha yangu na kuamua kutafuta dem ili nitakapoajiriwa soon nioe.
yule msichana alikua ananipenda sana na mimi nlmpenda pia,na hata familia yangu na yake walijua ipo siku ntaishi nae.
kwa kipindi chote hicho sikuwah kufanya mapenz na msichana
Fuatilia post za juu Kegel imeelezwa vizuriHayo mazoezi ya kegel ndo unafanyaje mkuu?
Kweli kabisa.hiii kitu huwa kuachaa kabsaa ni ngumu unaacha kwa mda tu .ilaaa inafanya mwili unakuwa mzito tofaut na ukikutana na papuchiii mwili na akil inakuwa nyepesii
Ni vita inayoitaji maandalizi.Hongera sana mkuu kwa kuipuuzia! Jana nilikuwa na miadili na demu kanizingua dakika za mwisho nikaona isiwe tabu nikaenda kushtua kamoja fasta!! Vita ya kupambana nyeto n kubwa sana kwangu!
Sasa unabana huku mkojo unatoka au hata ndani tu bili ya mkojo kutoka???Kegel exercises ni mazoezi yanayohusisha msuli uitwao PC muscle(puboccocygeus muscle) unaocontrol kutoka kwa mkojo,ejaculatio(kupizi) na uimara wa uume wako.
Kitu cha kwanza kabisa ni lazima uujur huu msuli na sehemu ulipo.
Njia pekee ya kuutambua huu msuli ni hii, pale unapotoa haja ndogo jaribu kuukata mkojo, utahisi kama vile anus imekaza hivi na uume unakua umekaza.. huo msuli unaokua umekaza ndio PC muscle..
Sasa jinsi ya kufanya mazoezi na huu msuli ndo tunaita KEGEL EXERCISE.
Unachotakiwa kufanya:
1. Bana msuli huu kwa sekunde 3 kisha pumzika kwa sekunde 3 tena. Fanya hivo mara kumi.
2. Bana msuli kwa sekunde tano kisha pumzika kwa sekunde 5..
Fanya hivo mara kumi tena. Endelea kuongeza muda wa kubana kadri unapozidi kuzoea ila muda wa kupumzika usizidi sekunde 5.
Kadri unapoweza kubana kwa muda mrefu, ndo msuli mambo yanazidi kua mazuri na utaona mwenyewe tu perfomance yako kitandani.
NOTE:
~Wakati unabana hakikisha misuli ya mapaja, makalio na tumboni iko relaxed kabisa na isihusike.
~Usifanye zaidi ya mara tatu kwa siku.
Subili mtalaam atakujibu vizuri.Sasa unabana huku mkojo unatoka au hata ndani tu bili ya mkojo kutoka???
Ili kujifunza jinsi ya kubana msuli anza kwanza kuubana mkojo na kuachia....!!Sasa unabana huku mkojo unatoka au hata ndani tu bili ya mkojo kutoka???
Dah kumbe si rahisi hivyo!!!Ili kujifunza jinsi ya kubana msuli anza kwanza kuubana mkojo na kuachia....!!
Baadae ukishajua jinsi ya kuubana msuli anza sasa zoezi lile lile la kuubana na kuachia nlilokuambia hapo juu. Lakini sasa hivi fanya baada ya kumaliza kukojoa.
[emoji436] Hii ni kwa sababu za kitaalam kuwa kubana mkojo na kuachia mara kwa mara kuna madhara katika afya ya kibofu cha mkojo.[emoji436]
AhsanteIli kujifunza jinsi ya kubana msuli anza kwanza kuubana mkojo na kuachia....!!
Baadae ukishajua jinsi ya kuubana msuli anza sasa zoezi lile lile la kuubana na kuachia nlilokuambia hapo juu. Lakini sasa hivi fanya baada ya kumaliza kukojoa.
[emoji436] Hii ni kwa sababu za kitaalam kuwa kubana mkojo na kuachia mara kwa mara kuna madhara katika afya ya kibofu cha mkojo.[emoji436]
Yaani hapa nimekaa natafakari mana nafsi inashindana na ubongo sasa najiuliza nipige kimoja tu au niaje? Kuna sauti inasema pima cha mwisho leo, nyingine inaniambia ukipiga leo hutoacha kabisa bora usipuchuke. Sasa sijui nifanyaje na huku nilipo mtu mweusi anabaguliwa kinoma nomaHongera sana mkuu kwa kuipuuzia! Jana nilikuwa na miadili na demu kanizingua dakika za mwisho nikaona isiwe tabu nikaenda kushtua kamoja fasta!! Vita ya kupambana nyeto n kubwa sana kwangu!
miaka mi 3 tayari una degree jitahidi upate masters ndio uachemficha uchi maladhi humuumbua.
Honestly mi hii kitu bdo inanitesa sana tena sana ingawa nimeanza kujitahidi siku hz ni mara moja kwa wiki tu, but naamini ipo siku itakata kabsa, 3 years now tangu nianze.