Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Njia sahihi ni ngumu sioni Hapa.. Mf: Nina miaka 42 Nina Mke Mara nyingi hajisikii kunihudumia! mpk iwe atakapo hitaji mwenyewe Dini niliyoko kifungo ni mke 1! tumecheki Afya tuko sawa na tumefunga makubaliano ya kuwa salama kujilinda! napomwambia siliziki nachafua nani anasema oa mke mwingine! ninapojaribu sioni anayekubali mkacheki Afya!! kisingizio unaulizwa unataka kunioa? kusema ndiyo kosa vsngizio kibao!! unaamua Shida zkzid ukomae na bed kusogeza siku
 
Haina madhara yoyote kwako pind unapokutana na Shem wetu
 
punyeto mi naapa sitorudia tokea nimeacha nimeona mabadiliko makubwa sana nguvu zimeongezeka na uwezo wa kufikiri pia
Hongera sana mkuu kwa kuipuuzia! Jana nilikuwa na miadili na demu kanizingua dakika za mwisho nikaona isiwe tabu nikaenda kushtua kamoja fasta!! Vita ya kupambana nyeto n kubwa sana kwangu!
 
mimi pia ni muathirika mkubwa wa punyeto na story yangu ni kama yako kabisa,nilianza kupiga punyeto kipindi nipo boarding form 1 na nilipiga kwa muda wa miaka tisa mpaka nilivyoacha miezi sita nyuma baada ya kuona madhara ambayo kidogo nijitoe uhai wangu na kuamua kuwa mlevi wa kupindukia.,nilikua napiga nyeto karibu kila day nkikosa labda siku hiyo nimeenda ugenini na hata huko ugenini naeza piga hata nkiwa bafuni,sikua na dem kwa kipindi chote hicho nlikua napiga kitabu fresh tu skul nafanya vizur na sikuwa mlev wa kilev chochote isipokua puli.
mwaka jana mwishoni nikaamua kuyabadili maisha yangu na kuamua kutafuta dem ili nitakapoajiriwa soon nioe.
yule msichana alikua ananipenda sana na mimi nlmpenda pia,na hata familia yangu na yake walijua ipo siku ntaishi nae.
kwa kipindi chote hicho sikuwah kufanya mapenz na msichana
Tafuta mechi ya kirafiki kwanza, atakapo kuja huyo gf wako ujue kabisa wapi kuna makosa urekebishe
 
hiii kitu huwa kuachaa kabsaa ni ngumu unaacha kwa mda tu .ilaaa inafanya mwili unakuwa mzito tofaut na ukikutana na papuchiii mwili na akil inakuwa nyepesii
 
Kegel exercises ni mazoezi yanayohusisha msuli uitwao PC muscle(puboccocygeus muscle) unaocontrol kutoka kwa mkojo,ejaculatio(kupizi) na uimara wa uume wako.
Kitu cha kwanza kabisa ni lazima uujur huu msuli na sehemu ulipo.
Njia pekee ya kuutambua huu msuli ni hii, pale unapotoa haja ndogo jaribu kuukata mkojo, utahisi kama vile anus imekaza hivi na uume unakua umekaza.. huo msuli unaokua umekaza ndio PC muscle..
Sasa jinsi ya kufanya mazoezi na huu msuli ndo tunaita KEGEL EXERCISE.
Unachotakiwa kufanya:
1. Bana msuli huu kwa sekunde 3 kisha pumzika kwa sekunde 3 tena. Fanya hivo mara kumi.
2. Bana msuli kwa sekunde tano kisha pumzika kwa sekunde 5..
Fanya hivo mara kumi tena. Endelea kuongeza muda wa kubana kadri unapozidi kuzoea ila muda wa kupumzika usizidi sekunde 5.
Kadri unapoweza kubana kwa muda mrefu, ndo msuli mambo yanazidi kua mazuri na utaona mwenyewe tu perfomance yako kitandani.

NOTE:
~Wakati unabana hakikisha misuli ya mapaja, makalio na tumboni iko relaxed kabisa na isihusike.
~Usifanye zaidi ya mara tatu kwa siku.
Sasa unabana huku mkojo unatoka au hata ndani tu bili ya mkojo kutoka???
 
Sasa unabana huku mkojo unatoka au hata ndani tu bili ya mkojo kutoka???
Ili kujifunza jinsi ya kubana msuli anza kwanza kuubana mkojo na kuachia....!!
Baadae ukishajua jinsi ya kuubana msuli anza sasa zoezi lile lile la kuubana na kuachia nlilokuambia hapo juu. Lakini sasa hivi fanya baada ya kumaliza kukojoa.
[emoji436] Hii ni kwa sababu za kitaalam kuwa kubana mkojo na kuachia mara kwa mara kuna madhara katika afya ya kibofu cha mkojo.[emoji436]
 
Dah kumbe si rahisi hivyo!!!
 
Ahsante
 
Hongera sana mkuu kwa kuipuuzia! Jana nilikuwa na miadili na demu kanizingua dakika za mwisho nikaona isiwe tabu nikaenda kushtua kamoja fasta!! Vita ya kupambana nyeto n kubwa sana kwangu!
Yaani hapa nimekaa natafakari mana nafsi inashindana na ubongo sasa najiuliza nipige kimoja tu au niaje? Kuna sauti inasema pima cha mwisho leo, nyingine inaniambia ukipiga leo hutoacha kabisa bora usipuchuke. Sasa sijui nifanyaje na huku nilipo mtu mweusi anabaguliwa kinoma noma
 
kegel exrcise mara ya kwanza kufanya niliona kaz na nikaona mizinguo tu,kwenye diary yangu niliandika naacha nyeto mazima nikachana karatasi nikaiweka kwenye kitabu ambacho hua napenda sana kukisoma!
kegel huwa ninafanya daily saivi naeza bana hata mara 150 kila diku na dushee naona limekua nene kidogo na linasimama wakati mwingine mchana hata bila kua na hisia yyt
 
Wanajamvi mimi nilikua ni muhanga wa nyeto takribani miaka nane. Manake nilivyo balehe tu nikaanza kujipimia mpaka mpaka mwaka jana ndo nimeacha nikiwa na miaka 21. Kwani nakumbuka nilivyopata demu kwa mara ya kwanza niliumbuka sana yaani dushe lilishindwa kabisa kuzama kwenye mbunye, lakini toka niache punyeto Hali yangu imeanza kuwa nzuri kwa sababu mwanzoni nilikua siwezi kusimamisha hata dk 1, lakini Kuna tatizo lingine limejitokeza kwa wiki mbili mfululizo nimekuwa nikiota nafanya mapenzi na kumwaga manii yaani ndani ya wiki moja lazma nijichafue mara moja, chakushangaza juzi nimemwaga mara 2 usiku mmoja, kwasababu mara ya kwanza nilishtuka usiku km saa saba nikakuta nimechafua nikabadili bukta nikalala kuamka asubuhi nakuta nimechafua tena wadau nilichoka. Naombeni ushauri hii itakua inasababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom