Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.nimekuwa na hili tatizo miaka kadhaa na nimejitaidi kuacha mara nyingi sanaa na hatimae nimeacha kabisa na ninakili hilo

Tatizo nililonalo saiv ni katka uume wangu kutoweza kusimama vizuri na kuplay mechi, yaani uume unasimama legelege ambavyo mimi siliziki ata kidogo kusimama kwa uume wang

Wana jf naomba msaada ili niweze rudisha hali yangu ya kawaida ili niweke heshima kwa mwanamke wangu. Msaada tafadhal hili tatizo linanisumbua sanaa na linanifanya nisiwe na raha kabisa
Note:naomba ushauri
Una muda gani tangu uache huo mchezo?
 
Back
Top Bottom