Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Jihadhari sana kijana, sio kila jambo ni la kujaribu, usigeuze mwili wako kuwa specimen ya kufanyia majaribio. Aidha, acha ngono, kuwa mchamungu, nguvu zako zitarejea zenyewe taratibu. Mwili una mechanism nzuri sana ya kujitibu wenyewe. Tafuta kuweka heshima kwa mwanamke asiye mke wako uone utakavoendelea kuangamia. Ni hayo tu kijana.
Kweli kabisa
 
Nina mwezi 1 na nusu

Ndugu mwezi mmoja ni mda mdogo sana,mm nilianza huu mchezo 2004-2013 june,nilikua addicted sana,kwa siku nilipga hadi mara4

ila nilipoamua kuacha kutoka moyoni,nilizingatia mazoezi coz mm ni mcheza mpira,,nilipokutana na msichana 2014,nilipiga kimoja tu tena haraka nikaishiwa nguvu

2014 nkaingia jeshini mwaka jana nmetoka huko nilimaliza mafunzo,mpaka sasa niko vizuri japo chakwanza natumia dakka 6+,,,jitahd sana

ukiweza niPM nikushauri,,sihitaji chochote toka kwako,,ila hili swala linaumiza sana
 
Tatizo mnatumia sabuni na kutumia nguvu
Nikufunze mbinu yangu niliyoitumia toka darasa la 5 hadi leo na bado nadunda?
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.nimekuwa na hili tatizo miaka kadhaa na nimejitaidi kuacha mara nyingi sanaa na hatimae nimeacha kabisa na ninakili hilo

Tatizo nililonalo saiv ni katka uume wangu kutoweza kusimama vizuri na kuplay mechi, yaani uume unasimama legelege ambavyo mimi siliziki ata kidogo kusimama kwa uume wang

Wana jf naomba msaada ili niweze rudisha hali yangu ya kawaida ili niweke heshima kwa mwanamke wangu. Msaada tafadhal hili tatizo linanisumbua sanaa na linanifanya nisiwe na raha kabisa
Note:naomba ushauri
Enheee wapiga puli acheni puli jamani
 
Nashauri serikali swala la punyeto liondolewe kwenye syllabus uko primary tumefundishwa kama njia nzuri ya kuzuia ukimwi ndo michezo inakoanziaga, nakumbuka mwalimu philibert Raphael ndo ulinifundish huu mchezo darasa la sita namshukuru mungu nimeacha na sijawai kuwa na nguvu za kiume
Hapo mwishoni kuna neno umesahau au mimi ndo sijaelewa
 
Nashauri serikali swala la punyeto liondolewe kwenye syllabus uko primary tumefundishwa kama njia nzuri ya kuzuia ukimwi ndo michezo inakoanziaga, nakumbuka mwalimu philibert Raphael ndo ulinifundish huu mchezo darasa la sita namshukuru mungu nimeacha na sijawai kuwa na upungufu wa nguvu za kiume
 
Nashauri serikali swala la punyeto liondolewe kwenye syllabus uko primary tumefundishwa kama njia nzuri ya kuzuia ukimwi ndo michezo inakoanziaga, nakumbuka mwalimu philibert Raphael ndo ulinifundish huu mchezo darasa la sita namshukuru mungu nimeacha na sijawai kuwa na upungufu wa nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom