Mkuu Gwambali,
Kuna maoni mazuri sana yameshatolewa na wadau na especially Miss Judith. Jaribu kuyafuatilia hata kwa ku-google ili uone kama kweli dokta wako alikueleza ukweli.
Hayo matatizo ya misuli yatakuwa na sababu nyingine na hilo la kujichua na kukosa mtoto pia lina walakini! Kama ingekuwa hiyo basi hata birth control ingekuwa rahisi sana. Jaribu kujipatia balanced diet na mazoezi ya kutosha. Hata bila kuacha kujichua unatapa mtoto tu.
Ila hebu basi na wewe nijibu, unaweza kujichua mara 3 kutwa? Ina maana unafikiria kufungua zipu kwa zaidi ya masaa 12 kwa siku?
Kuhusu hilo la frequency sijakuelewa bado!!
Hah hah hah! mkuu swali lako nimelikwepa kwa makusudi! Asante kwa ushauri wako pamoja ndugu.