Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mkuu Gwambali,

Kuna maoni mazuri sana yameshatolewa na wadau na especially Miss Judith. Jaribu kuyafuatilia hata kwa ku-google ili uone kama kweli dokta wako alikueleza ukweli.

Hayo matatizo ya misuli yatakuwa na sababu nyingine na hilo la kujichua na kukosa mtoto pia lina walakini! Kama ingekuwa hiyo basi hata birth control ingekuwa rahisi sana. Jaribu kujipatia balanced diet na mazoezi ya kutosha. Hata bila kuacha kujichua unatapa mtoto tu.

Ila hebu basi na wewe nijibu, unaweza kujichua mara 3 kutwa? Ina maana unafikiria kufungua zipu kwa zaidi ya masaa 12 kwa siku?

Kuhusu hilo la frequency sijakuelewa bado!!

Hah hah hah! mkuu swali lako nimelikwepa kwa makusudi! Asante kwa ushauri wako pamoja ndugu.

Unafanya mara tatu kwa siku kwani wewe sio mfanya kazi? Halafu kuna kujichua ukiwa kitandani na wakati mwingine bafuni. sasa kama unajichuaga sana kitandani ni raisi sana kuacha. Kama wewe mnywaji wa bia, Basi hakikisha unapata pombe kali kama konyagi au whiskey yeyote ambapo ukinywa tuu inakulegeza mwili na nguvu za kuuujaza mpira(kudinda)na unachukua sekunde moja tuu kulala.

ukifanya hivyo kwa mwezi mmoja utaona yale mawazo yanayokujia kujia kukupa hamu ya nyeto nayo yanatoweka, unaweza kuacha kiraisi. Kama sio mnywaji wa pombe, basi tumia sana valium MG 10 mbili kabla ya kulala nazo hulegeza mwili kirahisi na kukupa usingizi kirahisi. halafu uwe unasoma sana novel au kufanya mazoezi ya viungo muda wako wote wa ziada au down time.

Kama unajichua bafunu wewe acha mlango wazi unapoingia kuoga na utaona kama vile kila mtu anakuona wewe. Basi huwezi kujichua utakuwa na woga wa kuonwa. kama hiyo huwezi basi njie nyenginewe ni kumwambia mkeo awe anakuchua huku nae anaona cums zako.

Kila ukijisiskia mwambie awea anakuchua yeye, sasa utajenga hali fulani ya kumuonea haya mkeo na taratibu utaona hamu ya nyeto nayo inaanza kutoweka.

Dah! mkuu mi siyo mtumiaji wa kileo chachote.... Sasa kwenye valium si ndio nitakuwa najitafutia matatizo mengine mkuu? maana mwisho wasiku nikawa siwezi kupata usingizi pasipo kutumia hizo dawa?

Hah hah hah! mkuu swali lako nimelikwepa kwa makusudi! Asante kwa ushauri wako pamoja ndugu.

Kwa hiyo hata wewe umeona kuwa una matatizo ya saikolojia zaidi kuliko hata hayo mambo ya kujichua??

Nakushauri uanze kwa kupunguza dozi. Badala ya kuitumia kama dawa ya daktari ya kutwa mara tatu, jaribu kufanya jioni tu...Na baadaye anza kuvusha siku. Kila kitu kinawezekana.

Pia kuna mahali umesema kuwa kujichua kuna raha zaidi kuliko kufanya tendo la ndoa na mwanamke....Nimestuka sana. Kwa kadri ninavyojua na uzoefu wangu wa kuishi hapa duniani na katika maisha ya utu uzima kwa zaidi ya miongo mitatu...kinyume chake ndiyo sahihi. Kama isingekuwa hivyo basi wataalamu wangewekeza zaidi kwenye love dolls na soko la wanawake duniani lingeporomoka...Hata ma-lesibo mwisho wa siku wanalia kupata mwanamume...

Biology itabaki na utukufu wake hata kama tutajidai kuleta maujanja ya ajabu ajabu!!

Kuna jamaa amepost kwenye page 2 amesema kujichua kuna raha yake, ukweli hakuna raha yoyote japo unafikia mshindo, ukweli ni kwamba kujichua unajipimia size unayotaka mwenyewe mbano mlegezo n'k.....

Kitu kinachomfanya mtu aliyezoea kujichua kusema kuwa ni raha zaidi kujichua kuliko kukutana na mwanamke ni kwamba unapojichua unatumia nguvu nyingi kuweza kifikia mshindo hivyo unapo kutana na mwanamke hizo nguvu uwezi kuzitumia kwake hiyo unajikuta unachelewa kufika mshindo kwa kua uume umezoea misuli mizito ya mkono.

kama walivyo sema wengi ili ni swala la kisaikolijia zaidi, na kubaliana na wewe na wengine wote na mimi nalitambua hilo ndio maana nikaja kutafuta ushauri tofauti toka kwenu..

Nimepunguza kwa kiasi sasa kujichua maana hata kabla ya kuweka hii thread hapa nilikuwa nimekaa siku 4 pasipo kujichua, ndio nikaanza kusikia misuli ya miguu ikikaza, jion yake ilibidi nimuombe waifu ili nipunguze maumivu, na leo ni toka ijumaa nilipo do na waifu sija jichua tena hivyo nashukuru naendelea vizuri kwa kweli japo uume unasimama simama kila mara na jitahidi kuwa busy na hiyo hali inapote na baadae inarudia hivyo hivyo.

Kwa maelezo yako ya awali (post No. 1), inaonesha kama vile umri wako uko kati ya 30-35..Sasa kinachonishangazaa ni hiyo hali unayoeleza ya uume kusimama mara kwa mara. Hayo mambo ya mihemko isiyo na mpangilio wala ratiba ni kawaida kwa teens na young men (up to 25 yrs).

Ngoja niishie hapo,

But..it begun with you and it will obviously end with you!! Best wishes!!

mjomba anza kufanya mazoezi ya viungo ili upunguze hamu ya huo upuuzi.... Usipoangalia mzigo wako utaliwa..... Shauri yako.

Kwa hiyo jamaa hafanyi kazi, au wakati wa kazi anachomoka kwenda kujichua? I can imagine namkuta boss wangu anajichua napiga picha kwa simu yangu na kusambaza kwa wafanya kazi wote.
..Huyu jamaa ananikumbusha bingwa mmoja nilisoma nae chuo yeye suruali zake zote alizitoboa mifuko kwa hiyo muda wote mkono uko mfukoni unaweza kushangaa mko library night jamaa anabana kwenye ma-shelves ya vitabu anatafuta kitabu kumbe anapiga nyeto...Sijui alipotelea wapi yule mshenzi yaani class kwetu mpaka mademu walikuwa wanamkimbia. Akiwa alone ni tatizo...!!!

jaman nimekua adicted,nlikua cna tabia hyo ila nimekuja jaribu hata kuacha cwez,demu wangu yupo mbali nami na ctaki kumsaliti,imefikia mahal hata nkiwa na demu wangu la kwanza fresh ila mengne navutia hsia masta yangu,pamoja na thara hli nlishaliona,yapi mathara mengne ya haka kamchezo kangu wana jf?niacheje!?nawakilisha.

Wahi kwa mchungaj ukapigwe upako wa kufa m2 mkuu!

jaman nimekua adicted,nlikua cna tabia hyo ila nimekuja jaribu hata kuacha cwez,demu wangu yupo mbali nami na ctaki kumsaliti,imefikia mahal hata nkiwa na demu wangu la kwanza fresh ila mengne navutia hsia masta yangu,pamoja na thara hli nlishaliona,yapi mathara mengne ya haka kamchezo kangu wana jf?niacheje!?nawakilisha.

pole sana.! hii kitu inatuumiza wengi sana.!!

ujinga tuuu huo unauendekeza jalibu kutafuta cha kufanya uwone kama utapiga hyo masta

akiwa hayupo ji keep busy kwa vitu vingi,hilo jambo sio zuri.kikojoleo kikiwa hakisimami,huyo dada na yeye si atakukimbia?utakosa yote.ukiji feel bored,ingia japo jf.kesha humu humu.usifikirie saaaana ngono,ndio inayokufanya ufanye hayo.

ka alivosema mkuu hapo juu punguza kuangalia porno movies...............

jaman nimekua adicted,nlikua cna tabia hyo ila nimekuja jaribu hata kuacha cwez,demu wangu yupo mbali nami na ctaki kumsaliti,imefikia mahal hata nkiwa na demu wangu la kwanza fresh ila mengne navutia hsia masta yangu,pamoja na thara hli nlishaliona,yapi mathara mengne ya haka kamchezo kangu wana jf?niacheje!?nawakilisha.

we piga puli kaka,mademu wenyewe micharuko sana siku hizi,usiogope wala haiwez kukuua,tungekuwa tushakufa sana

Nafikiri unafanya kitu ambacho ni sahihi kabisa kuliko kumsaliti mpenzi wako.
Asikuvunje mtu moyo, masterbation gaina madhara kiafya, ni psychological issue tu! Ukiwa na mpenz wako hakikisha hisia zako zinakuwa kwake.

kweli kabisa mkuu

Hata mimi nakupongeza kaka kwa kuamua kufanya hivyo kuliko wenzio ambao wapenzi wao wakiwa mbali basi lazima wapate spare. Unajiepusha na magonjwa kwa kutotembea hovyo. Well mpenzi akiwa karibu taratibu na ubongo utaji tune kusahau hako kamchezo.

Back
Top Bottom