bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,117
Naombeni ushauri wenu wakuu, me ni kijana wa mika 20 sasa but nimeshndwa kutmza hata wiki bila ya kutopga punyeto. Nifanyeje ili niache hii tabia mbaya. Nisaidieni plz.
Ushauri wangu mdogo wangu kwani nimekupita miaka 3 hivyo am your brother, fanya vitu vifuatavyo:
1. jitahidi kila asubuhi/jioni unafanya mazoezi yanaweza kuwa ya kukimbia, kucheza mpira n.k
2. Kama ni mkristo jitahidi kusoma biblia mara kwa mara na vitabu vifananavyo pia jitahidi kuwa na mda wa kumwomba Mungu kabla hujalala na unapoamka.
3.Unapobrowse internet jitahidi kubrowse mambo ya afya bora, political issues, michezo but cyo miziki ya kibongo na america n.k ambayo haina tofauti na watu waliouchi, hii itakusaidia kuset ur mind kwenye kutenda mema.
4.Weka ubongo wako kwenye Masomo,biashara namna gani waweza kufanikiwa na kama ni relation jitahidi kumpatat mchumba wa moja kwa moja.
Naamini kwa sehem ukifuata haya itakusaidia kwani nami nlikuwa hivyo hivyo after kupewa ushauri nipo fit ctak tena hayo.