Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Naombeni ushauri wenu wakuu, me ni kijana wa mika 20 sasa but nimeshndwa kutmza hata wiki bila ya kutopga punyeto. Nifanyeje ili niache hii tabia mbaya. Nisaidieni plz.

Ushauri wangu mdogo wangu kwani nimekupita miaka 3 hivyo am your brother, fanya vitu vifuatavyo:
1. jitahidi kila asubuhi/jioni unafanya mazoezi yanaweza kuwa ya kukimbia, kucheza mpira n.k
2. Kama ni mkristo jitahidi kusoma biblia mara kwa mara na vitabu vifananavyo pia jitahidi kuwa na mda wa kumwomba Mungu kabla hujalala na unapoamka.
3.Unapobrowse internet jitahidi kubrowse mambo ya afya bora, political issues, michezo but cyo miziki ya kibongo na america n.k ambayo haina tofauti na watu waliouchi, hii itakusaidia kuset ur mind kwenye kutenda mema.
4.Weka ubongo wako kwenye Masomo,biashara namna gani waweza kufanikiwa na kama ni relation jitahidi kumpatat mchumba wa moja kwa moja.
Naamini kwa sehem ukifuata haya itakusaidia kwani nami nlikuwa hivyo hivyo after kupewa ushauri nipo fit ctak tena hayo.
 
nani kakwambia punyeto mbaya?
kuwa na gf sio solution, hata ukiwa naye utakuja kuelewa kwamba at some point utapiga tu punyeto, peke yako au na mwenzako...kuna blowjob, fellatio, cunnilungus, finger techs etc, zote ni punyeto.
sugua mwana!
 
Nyote ndio hao hao unajuaje kuwa ni mtoto au ni wewe! Acha kutetea ukosefu wa maadili!

wewe unafananishwa na yuda iskariote kwani after kumkana Jesus badala ya kuomba msamaha akajinyonga.
Kukubali kuwa umetenda kosa mbona rahisi tu hata kama ni Mkristo unayetafuta kuwa na utakatifu, huo cio utakatifu bali ni utakafujo wa kujitafutia hukumu mbele za Mungu.
OMBA MSAMAHA ULICHOKIFANYA SICHO.
 
fu*k u chuakachara.........busara zako ndo zimeishia hapo sio.....usijifanye unajua kutusi na kulaani kuliko wengine....kaomba ushauri huna kalale mbele acha wahusika waangalie namna ya kumsaidia......nawasikitikia sana watoto wako kama unao maana wamepata mzazi punga sijapata ona
 
Naombeni ushauri wenu wakuu, me ni kijana wa mika 20 sasa but nimeshndwa kutmza hata wiki bila ya kutopga punyeto. Nifanyeje ili niache hii tabia mbaya. Nisaidieni plz.

kawaida hiyo..... ila fanya mazoezi na kusoma vitabu itapungua
 
Nyote ndio hao hao unajuaje kuwa ni mtoto au ni wewe! Acha kutetea ukosefu wa maadili!

Kapige kelele posta pale tushakuzoea na kukariri dini vibaya . Unajiona mtakatiifu kumbe bogus.. Umemkosea huyo kijana muombe radhi anayeweza kutoa laani sio wewe unaambiwa unaleta ukichaa hapa umesikia hapa ni wodi ya machizi milembe? Na madaktari wamegoma mpaka warudi makazini JF itajaja pumba zako.
 
Naombeni ushauri wenu wakuu, me ni kijana wa mika 20 sasa but nimeshndwa kutmza hata wiki bila ya kutopga punyeto. Nifanyeje ili niache hii tabia mbaya. Nisaidieni plz.

Pole sana ndugu yangu. Lakini tatizo lako linatibika. kwanza nataka ujue kua wanaume wengi wapiga punyeto katika ujana wao na wengine hadi sasa wanapiga punyeto katika utu uzima wao wakiwa na wake na watoto.

Sasa kwa kezi yako, kwanza kabisa lazima ujue GOLDEN RULE, inayosema, TOO MUCH OF EVERYTHING IS HARMFUL. Kwa hiyo, punguza na hatimae uache kabisa.

Jinsi ya kuacha: 1. Ukisikia hamu ya kufanya hivyo, inuka hapo ulipo kaa na ufanye kitu kingine.
2. Tafuta mwanamke. Kwa maana sahihi, tafuta mpenzi ufunge ndoa. Nakila unapo sikia hamu ya kupiga
omba mambo.
Madhara: Ukiendelea kupiga punyeto kila mara bila kukutana na mwanamke, utapoteza hamu kabisa ya kufanya tendo ndoa na wanawake na mwishowe utakua Khanithi.

Ndugu yangu ukikosa raha ya kufanya mapenzi na mwanamke kama wewe ni mwanamume au mwanamume kama wewe ni mwanamke basi jua wewe nikilema kuliko kipofu, kiziwi, bubu na wengineo
 
Panga Ratiba Yako.......

fanyakazi, au soma sana, nenda library, meki shua unakaa mezani ukisoma masaa mawili kwa bidii, ukitoka kazini au darasani, panga ratiba ya library na ya mazoezi, na
hakikishaunasali-omba dua kila siku dakika 5 tu

mazoezi: hapa zoezi liwe gumu...anza polepole

  1. kukimbia, pushapu, kuruka kamba, 30 saa kila siku.
  2. unyew maji mengi zaid ya litre3 kwa siku.
  3. usisahau kufanya zoezi la viungo ukiwa umekaa kila baada ya mazoezi
faida:

  • utachoka kwa hiyo ulalala vzr,
  • hutakuwa na muda kuwaza sex, maana ndio chnzo
  • usiwaangalie wanawake, shusha us wako ukiwaona, usipende kukaa nao karb
  • utafaulu
  • utapata kaz nzur
  • utaoa

Wewe utakuwa babu eh.. .
Naona umempa ushahuri kama babu anayempa mjukuu ushauri.
 
Ushauri wangu mdogo wangu kwani nimekupita miaka 3 hivyo am your brother, fanya vitu vifuatavyo:
1. jitahidi kila asubuhi/jioni unafanya mazoezi yanaweza kuwa ya kukimbia, kucheza mpira n.k
2. Kama ni mkristo jitahidi kusoma biblia mara kwa mara na vitabu vifananavyo pia jitahidi kuwa na mda wa kumwomba Mungu kabla hujalala na unapoamka.
3.Unapobrowse internet jitahidi kubrowse mambo ya afya bora, political issues, michezo but cyo miziki ya kibongo na america n.k ambayo haina tofauti na watu waliouchi, hii itakusaidia kuset ur mind kwenye kutenda mema.
4.Weka ubongo wako kwenye Masomo,biashara namna gani waweza kufanikiwa na kama ni relation jitahidi kumpatat mchumba wa moja kwa moja.
Naamini kwa sehem ukifuata haya itakusaidia kwani nami nlikuwa hivyo hivyo after kupewa ushauri nipo fit ctak tena hayo.

Nashkuru sana mkuu ntafuata ushauri wako
 
Ulaaniwe, ufe una faida gani duniani, uchafu mtupu! Ulaaniwe tena na tena, shetani mkubwa Lusiferi mwana haramu!

jamani yamekuwa haya tena?
Kwani Kuna mwanadamu asie kosea?
Ye kagundua kosa lake na anataka kubadilika, jambo la busara ni kumpa ushauri na sio laana.
Kama huna la kumshauri bora kunyamaza.
Kwa njia hii tutawakatisha tamaa watu wenye matatizo wasije kuomba ushauri.
 
faszar, kwanza nakupongeza kwa kusema wewe ndiyo mwenye tatizo, maana wengine huwa wanakuja na gia ya "rafiki yangu"huku wao ndiyo wenye tatizo.Nimeshangaa sana wengine kumshambulia kwa matusi mleta mada , hao achana nao, kuna ushauri umetolewa hapo juu na wadau mbalimbali, jaribu kuufuata kama walivyoshauri@Kizamani,[B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php[/email]?u=84712"]mansakankanmusa[/URL][/B] bampami, na wengine.
 
Pole sana ndugu yangu. Lakini tatizo lako linatibika. kwanza nataka ujue kua wanaume wengi wapiga punyeto katika ujana wao na wengine hadi sasa wanapiga punyeto katika utu uzima wao wakiwa na wake na watoto.

Sasa kwa kezi yako, kwanza kabisa lazima ujue GOLDEN RULE, inayosema, TOO MUCH OF EVERYTHING IS HARMFUL. Kwa hiyo, punguza na hatimae uache kabisa.

Jinsi ya kuacha: 1. Ukisikia hamu ya kufanya hivyo, inuka hapo ulipo kaa na ufanye kitu kingine.
2. Tafuta mwanamke. Kwa maana sahihi, tafuta mpenzi ufunge ndoa. Nakila unapo sikia hamu ya kupiga
omba mambo.
Madhara: Ukiendelea kupiga punyeto kila mara bila kukutana na mwanamke, utapoteza hamu kabisa ya kufanya tendo ndoa na wanawake na mwishowe utakua Khanithi.

Ndugu yangu ukikosa raha ya kufanya mapenzi na mwanamke kama wewe ni mwanamume au mwanamume kama wewe ni mwanamke basi jua wewe nikilema kuliko kipofu, kiziwi, bubu na wengineo

Ahsante sana ntajitahdi.
 
Mkuu@faszar, kwanza nakupongeza kwa kusema wewe ndiyo mwenye tatizo, maana wengine huwa wanakuja na gia ya "rafiki yangu"huku wao ndiyo wenye tatizo.Nimeshangaa sana wengine kumshambulia kwa matusi mleta mada , hao achana nao, kuna ushauri umetolewa hapo juu na wadau mbalimbali, jaribu kuufuata kama walivyoshauri@Kizamani,mansakankanmusa,bampami, na wengine.

Thank u.
 
Back
Top Bottom