Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Labda nikupe effect kubwa ya punyeto ukiendelea na hii kitu ikifika umri wa kuoa hautaoa what's next ushoga hii ni true kabisa
 
HI wana jf,
Nauliza kama kuna tiba yoyote ya kudumu kwa mtu aliyeathirika na upigaji punyeto kwa hapa kwetu tanzania? namaanisha aliyeathirika mpaka akashindwa ku perform anapokutana na mwanamke kama alivyokuwa aki perform mwanzo,au ndo inakuwa kilema cha maisha?na kama zipo zinapatikana wapi?

Mimi binafsi sina details zozote ila kuna rafiki yangu ameniuliza swali hilo zaidi ya mara tatu nimeshindwa kumjibu zaidi nimehisi huenda ana tatizo linalohusiana na hizo issue ila anaona aibu kuniambia.


naomba kujuzwa wadau ili nijibu kama nilivyoulizwa

acha ujinga si useme ni wewe hapo ndo mpiga nyeto unamsingizia rafiki yako,huna shida ww
 
Aise punyeto ni hatari mno na light tungejua madhara yake. Hakika hata akiwa na mwanamke mapenzi hayatakuwa kwa sana maana anajua hata kama wakikosana au akiwa mbali basi anakimbilia bafuni kumaliza shughuli. Mapenzi ni kum miss mwenzako na akiwa ametoka kwa muda akirudi badi fimbo linakuwa kali kama wembe!! Da kutunziana genye!!!
 
Hakuna tiba, madhara yake ni Ushoga...

Aise mkuu Katavi mbona unamtisha huyu kijana? Tumsaidie kurudisha uhai wa ubongo wake kwa kumwambia kuwa hakuna kitu tamu kama K!!!! ha ha !!! Aachane na sabuni za kuchubua hiyo mashine anasugua kwa nguvu na kumaliza au kuumiza kabisa sensory cells!!! Khaa tabu kweli kweli!! Nafikiri ndiyo maana wazee zamani walioza vijana wao mapema!! Leo hii tunajidai na vidato mtu anafikisha miaka 25-30 hajaoa na pengine hana uwezo wa kumpata mwanamke (just thinking aloud) na matokeo yake almost 15 years ni kufinyanga mashine!! I tell you ni lazima iwe kamba tu na matokeo yake ni kutaka kutumia mtandao wa tigo!!
 
HI wana jf,
Nauliza kama kuna tiba yoyote ya kudumu kwa mtu aliyeathirika na upigaji punyeto kwa hapa kwetu tanzania? namaanisha aliyeathirika mpaka akashindwa ku perform anapokutana na mwanamke kama alivyokuwa aki perform mwanzo,au ndo inakuwa kilema cha maisha?na kama zipo zinapatikana wapi?

Mimi binafsi sina details zozote ila kuna rafiki yangu ameniuliza swali hilo zaidi ya mara tatu nimeshindwa kumjibu zaidi nimehisi huenda ana tatizo linalohusiana na hizo issue ila anaona aibu kuniambia.


naomba kujuzwa wadau ili nijibu kama nilivyoulizwa

Ukisema ni wewe kwani utakufaa....?
 
Pole ndugu, Nakushauri yafuatayo yanaweza kukusaidia katika mazingira yako
1. Jifunze na fanya mazoezi ya viungo kwa moyo na kwa juhudi. Simply amka mapema kabla ya kuoga piga tu pushups 50 na squarts 30 na uongeze kadri siku zinavyoenda. ukiweza tena jioni ukipata muda.
2.tafuta material mengi kadri uwezavyo yenye madhara ya masturbation ujisomee kwa muda wko wa ziada.
3. Tafuta kujua sana uzuri wa kujizuia na hayo makitu na ujiweke busy kiakili ukifikiri na kupanga na kufuatilia mambo yako na uzidi kujichanganya na watu.
4. jiamini kuwe wewe ndio una uamuzi wa mwisho juu ya tamaa zako na kila kitu kinazuilikia IWAPO UTAAMUA hivyo, I can guarantee this.
5. Jitahidi usiwe single, uwe na mwenza japo sikutumi kugegeda, ile tu kuwa naye inahujenga kihisia.

Layman Tized.
 
punguza kupiga nyeto ovyo ovyo yaani usifanye kuwa muhimu kiviile pia jaribu kuchanganya usielemee kwenye nyeto tu....tafuta demu uwe unakaza sometimes itakusaidia kuwa stable!
 
babu hlo tatzo linatukumba wengi sana, kiukweli kama ulizoea kupga nyeto kuacha ni kazi ndugu mimi nimepiga hiyo kitu toka nikiwa form2-2002 mpaka leo hii napga mosimosi ilifikia kipindi nikiwaza punyeto jogoo anasimama, yaan unaweza ukataka kuzamisha nanga ukeni mara wazungu haooo mbayaa zaid ukutane na kitu kibichi ambacho bado kinabana... fasta baooo.
Ila siku ikitokea baoo limechelewa unafumua sanaa mpaka raha, huyo jamaa anasema dakika 17 aaah wap? zaid ya 40minutes.. chamsingi kwanza uwe na mchumba ili uwe unapga matizi angalau kwa wiki mara2/3 baadae utazoea tu, fanya mazoez mara kwa mara na ukiwa ndani ya show jarbu kuwaza mbaliiii au mwanzshe mamsap kwa kunyonya maik... then endelea..
 
Hii kitu psychological, ubongo ushazoea kuwa ni tendo la fasta na ukipiga goli moja ngoma inalala kwa kuwa most of the time ukiwa unapiga besheni unataka ukojoe tu umalize na huwezi taka kupiga bao mbili mfululizo za besheni!! Ukipiga kamoja ka fasta, mchezo umeisha. And the same thing happens ukiwa na demu esp kama umekua ukipiga kwa miaka mingi.

Piga nyeto nusu saa kabla demu hajaja kiwanja kama una kidate, shushia kakonyagi kadogo wakati unamsubiri, kama unaweza puliza jani pia (usisahau kupiga mswaki kuondoa harufu!!).
 
Habari zenu wana JF,

Mimi ni mvulana wa miaka 24, nina tatizo la kuwahi kufika kileleni.
Tangu shule ya msingi hadi Sekondari nimesoma shule ya boarding ila ya
sekondari ilikuwa ni boys school.

Muda wote huo hadi nafika miaka 23 sikuwahi kufanya tendo la ndoa, hivyo
nimekuwa nikipiga punyeto tangu darasa la 6 hadi nilipofika form four.
Mwaka mpya nilibahatika kupata mwanamke. Katika kutaka kukutana naye
kimwili kilichoniumiza ni kuwa nilimuandaa vizuri lakini ile kutaka tu
kumuingilia hata dakika haikuisha nikamaliza na kushindwa kuendelea.

Juzi tena tumejaribu na hali imejirudia hiyo hiyo. Naomba ushauri wenu
nifanye nini ili niwe nachelewa kumaliza? Bila kwenda hospitali mazoezi
yanasaidia? Tafadhali nisaidieni mawazo katika hili tatizo langu.

Asanteni.

pole dogo, hua unapiga mara ngapi kwa siku?
 
Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiumeZipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:

1.ubugiaji wa tumbaku .

2.uvutaji wa sigara.

3.utafunaji wa mirungi.

4.unywaji wa pombe.

5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.

6.ugonjwa wa kisukari.

7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)

8.kuwa na mawazo kupita kiasi na Stress.

9.kufanya kazi ngumu.

Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 9 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.

Kutokana na huyu rafiki yako amepiga sana Punyeto atakuwa na Upungufu wa nguvu za kiume na hakuna njia ya kuirudisha Nguvu zake za kiume mpaka atumie dawa za

kuirudisha hizo nguvu za kiume.


Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...naye-taka.html
 
Back
Top Bottom