Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hiyo hali inatibika. Achana na huo mchezo na uwe unashiriki tu na wanawake na baada ya muda utakaa sawa
 
Punyeto/kujichua ni matokea ya mtu kuwa amevamiwa na nguvu za giza/spiritual attack na kupelekea mapepo/roho chafu (spiritual wife/husband) kumwingia mtu huyo na kummiliki kama mke/mume wake na hivyo kumfanya wakati wote kutamani kujichua hata baada ya kukutana na mwenzi wake, kumbuka PUNYETO ni DHAMBI mbele za Mumgu hivyo namshauri huyo kaka kwenda kwa watumishi wa Mungu (walokole) ambao watamsaidia kama walivyomsaidia ndugu yangu aliyekuwa victim wa punyeto, waganga wa kienyeji, dawa za hosp. tiba lishe, mazoezi vyote hivyo havikumsadia, namshauri huyo kaka asipoteze pesa zake bure
 
Ajenge hisia kama vile anakamuliwa jipu?mashine lazima ilale.Nadhani aache mchezo wa kupiga kavukavu.akitumia kondomu sensation inapungua hivyo atachelewa kupiga bao.
toa mafikilio ya utamu wakati unafanya mapenzi.
 
....hili tatizo limekua sugu... serikali haina budi kutangaza state of emergency,
Hapa umekosea kidogo, mkuu, siyo state of emergency-Bali usahihi ni "National Disaster"-yaani- janga la kitaifa . Vijana kukomaa na sabuni bafuni hadi viganja vimeota sugu.
 
Punyeto/kujichua ni matokea ya mtu kuwa amevamiwa na nguvu za giza/spiritual attack na kupelekea mapepo/roho chafu (spiritual wife/husband) kumwingia mtu huyo na kummiliki kama mke/mume wake na hivyo kumfanya wakati wote kutamani kujichua hata baada ya kukutana na mwenzi wake, kumbuka PUNYETO ni DHAMBI mbele za Mumgu hivyo namshauri huyo kaka kwenda kwa watumishi wa Mungu (walokole) ambao watamsaidia kama walivyomsaidia ndugu yangu aliyekuwa victim wa punyeto, waganga wa kienyeji, dawa za hosp. tiba lishe, mazoezi vyote hivyo havikumsadia, namshauri huyo kaka asipoteze pesa zake bure

kwa hiyo ww una amin walokole ndo suluhiso la matatzo ya watu?? Bac hata wao wangejiombea wasingekwenda kwa daktar, punyeto mtu ana athirika kisaikolojia ila ngoja ntaweka mada vzuri tupeane namna ya kuacha punyeto na athari zake, kama hujui hadi laptop znauwa nguvu za kiume namna gan zinauwa nakuja kuwapa darasa vijana wenzangu najua kitu hiki wamekileta wazungu wakishrkiana na shetani ila njia nzuri zipo
 
kwa hiyo ww una amin walokole ndo suluhiso la matatzo ya watu?? Bac hata wao wangejiombea wasingekwenda kwa daktar, punyeto mtu ana athirika kisaikolojia ila ngoja ntaweka mada vzuri tupeane namna ya kuacha punyeto na athari zake, kama hujui hadi laptop znauwa nguvu za kiume namna gan zinauwa nakuja kuwapa darasa vijana wenzangu najua kitu hiki wamekileta wazungu wakishrkiana na shetani ila njia nzuri zipo

ndugu yangu brasy coco naona hukunielewa, mimi pia ninafahamu sababu nyingi zinazosababisha upungufu wa nguvu za kiume ikiwemo magonjwa (kisukari), mimi nimezungumzia chanzo kitokanacho na punyeto
 
Kwa kusema kweli hili jambo la kupiga punyeto limekuwa likiwakumba wengi na ni kwa sababu ya mahitaji ya mwili yanakuwa na nguvu sana kushindwa uvumilivu na njia hiyo huonekana rahisi isiyo na kero kwa mhusika. Hii njia wengi huichukulia ni nzuri na salama lakini madhara yake ni pale inapotokea tatizo baadaye. Watu wengi sana duniani rika fulani huusika na upigaji punyeto kwa mujibu wa tafiti na ni asilimia ndogo sana ambao hawajawahi kujiridhisha kwa njia hii. Mitandao mingi huamasisha punyeto haina madhara na ni njia salama kwa mtu kujiridhisha akiwa peke yake lakini ukweli ni kuwa punyeto ikiendekezwa sana mtu huishia kuwa na madhara ya kisaikolojia ikiwa ni pamoja na upungufu wa nguvu za kiume. Waliokwishapata madhara huwa wanakosa amani kabisa na huanza kuzunguka kwa waganga wengi wa kienyeji na matapeli kuhusu namna ya kuepukana na tatizo.
Ushauri nilio nao ni kuwa mtu ambaye anapiga punyeto aache sababu madhara yake ni makubwa. Watu ambao walishapata madhara wanatakiwa kuzingatia kula vema hasa vyakula vya asili na siyo vyakula vya viwandani na kutokuwa na hali ya kuhangaika kwa waganga na matapeli sababu wanakuwa wanapoteza muda wa kufanya kazi nyingine za uzalishaji na kuzidi kuharibu uwezo wao wa nguvu za kiume. Kuweza kuepukana na tatizo la kukosa nguvu za kiume unaweza kutumia lishe maalumu iliyoandaliwa na yenye mafanikio katika kuepukana na tatizo. Lishe kama REVIVE ni nzuri na iliyofanyiwa utafiti miaka mingi na kuonekana kuwa na mafanikio na kutokuwa na madhara kiafya. Imekubalika itumike duniani kote na hapa Tanzania imepitishwa na TFDA kwa ajili ya Watanzania wenye kuhitaji kutumia kwa ajili ya afya. Lishe hii siyo kwa ajili ya walio na madhara tu hata wale ambao hawana madhara yoyote wanaweza kutumia kwa ajili ya kuimarisha afya. Fuatilia maelezo muhimu ya lishe ambayo mtu anatakiwa atumie kama ana tatizo la nguvu za kiume/-------. Zimewasaidia wengi hapa nchini


MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

WASIOPASWA KUTUMIA

  • Wajawazito
  • Wanaonyonyesha
  • Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
  • Watoto chini ya miaka 14

REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE

  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

MAGILIM ni 62500/-, REVIVE ni 60500/-na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
 

Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 248
  • REVIVE.jpg
    REVIVE.jpg
    13.9 KB · Views: 290
aisee haka kamchezo nimeshindwa kukaacha tangu mwaka 1998 mpka leo napiga kinoma.... na nilishazoea kama dozi ya panadol kutwa mara 3
 
Pole mzaz.fanya mazoez itakuwa shwar.pia usiogope madada fanya mapenz na mwenzio utakuwaft.
 
Angalia sana dogo utaishia vya kunyonga vya kuchinja hutaviweza utatuachia wenyewe wakongwe.
 
Nimesoma status zenu nyoote, nimegundua humu ndan kuna wendawazimu, wehu, vichaa, watu wenye busara zao nk, yaan nimecheka kiasi kwamba nimesahau hata ushauri niliotaka kutoa
 
ha ha ha, we ndio umenichekesha.
Wamakusahaulisha ushauri?

Nimesoma status zenu nyoote, nimegundua humu ndan kuna wendawazimu, wehu, vichaa, watu wenye busara zao nk, yaan nimecheka kiasi kwamba nimesahau hata ushauri niliotaka kutoa
 
Habari wana Jf!
Mimi ni kijana wa miaka 23.
Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa.
Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena!
Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu!
NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA.
Ahsanteni kwa ushauri constructive.
 
Siku ukiamua kuacha utaacha kweli,tatizo ni kwamba hujaamua tu.Hii ni miongoni mwa tabia ambazo ni rahisi sana kubadilika.

Mkuu Mrimi,simple like that,kuamua tu?
Nakuhakikishia nimetamani sana kuacha tabia hii chafu lakini nimeshindwa!
Tafadhali nipe hiyo namna ya kuacha please!
 
Last edited by a moderator:
Siku ukiamua kuacha utaacha kweli,tatizo ni kwamba hujaamua tu.Hii ni miongoni mwa tabia ambazo ni rahisi sana kubadilika.

Mkuu Mrimi,simple like that,kuamua tu?
Nakuhakikishia nimetamani sana kuacha tabia hii chafu lakini nimeshindwa!
Tafadhali nipe hiyo namna ya kuacha please!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom