Kwa kusema kweli hili jambo la kupiga punyeto limekuwa likiwakumba wengi na ni kwa sababu ya mahitaji ya mwili yanakuwa na nguvu sana kushindwa uvumilivu na njia hiyo huonekana rahisi isiyo na kero kwa mhusika. Hii njia wengi huichukulia ni nzuri na salama lakini madhara yake ni pale inapotokea tatizo baadaye. Watu wengi sana duniani rika fulani huusika na upigaji punyeto kwa mujibu wa tafiti na ni asilimia ndogo sana ambao hawajawahi kujiridhisha kwa njia hii. Mitandao mingi huamasisha punyeto haina madhara na ni njia salama kwa mtu kujiridhisha akiwa peke yake lakini ukweli ni kuwa punyeto ikiendekezwa sana mtu huishia kuwa na madhara ya kisaikolojia ikiwa ni pamoja na upungufu wa nguvu za kiume. Waliokwishapata madhara huwa wanakosa amani kabisa na huanza kuzunguka kwa waganga wengi wa kienyeji na matapeli kuhusu namna ya kuepukana na tatizo.
Ushauri nilio nao ni kuwa mtu ambaye anapiga punyeto aache sababu madhara yake ni makubwa. Watu ambao walishapata madhara wanatakiwa kuzingatia kula vema hasa vyakula vya asili na siyo vyakula vya viwandani na kutokuwa na hali ya kuhangaika kwa waganga na matapeli sababu wanakuwa wanapoteza muda wa kufanya kazi nyingine za uzalishaji na kuzidi kuharibu uwezo wao wa nguvu za kiume. Kuweza kuepukana na tatizo la kukosa nguvu za kiume unaweza kutumia lishe maalumu iliyoandaliwa na yenye mafanikio katika kuepukana na tatizo. Lishe kama REVIVE ni nzuri na iliyofanyiwa utafiti miaka mingi na kuonekana kuwa na mafanikio na kutokuwa na madhara kiafya. Imekubalika itumike duniani kote na hapa Tanzania imepitishwa na TFDA kwa ajili ya Watanzania wenye kuhitaji kutumia kwa ajili ya afya. Lishe hii siyo kwa ajili ya walio na madhara tu hata wale ambao hawana madhara yoyote wanaweza kutumia kwa ajili ya kuimarisha afya. Fuatilia maelezo muhimu ya lishe ambayo mtu anatakiwa atumie kama ana tatizo la nguvu za kiume/-------. Zimewasaidia wengi hapa nchini
MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;
- Seamen cassie
- Cassia bark
- Mullberry leaver
- Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;
- Maji ya nyongo
- Nguvu ya mwili(glucose)
- Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
- Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.
KAZI YA MAGILIM
- Kupunguza uzito na unene
- Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
- Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
- Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
- Kutoa sumu mwilini
- Kutoa chunusi mwilini
- Kutibu matatizo ya tumbo
WASIOPASWA KUTUMIA
- Wajawazito
- Wanaonyonyesha
- Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
- Watoto chini ya miaka 14
REVIVE
Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.
KAZI YA REVIVE
- Kuongeza libido(ashiki au nyege)
- Kutibu impotence(mahanisi)
- Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37C.
- Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
- Kutibu maumivu ya kiuno
- Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
- Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
- Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
- Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
- Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa
CA + FE + ZI PLUS
- CA Madini ya Chokaa
- FE Madini ya Chuma
- ZI Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA
- 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
- Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
- Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
- Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA
- Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
- Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
- Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
- Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI
- Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
- Inaimarisha milango ya fahamu
- Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
- Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
- Inaondoa matatizo ya macho.
Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294 au kuniandikia kupitia email
ishealthy@hotmail.com
MAGILIM ni 62500/-, REVIVE ni 60500/-na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-