Putin kasema Russia is" immune " to sanctionsMtu wangu ivyo vikwazo tu Russia wataomba poo wenyewe wewe subiri muda mdogo tu tumeanza Nord Stream 2 kwanza na zile bank 4 za Russia na sanctions nyengine mpya wanachukuliwa tunamaliza vikao
Ngoja tuone gesi yake atamuuzia nani, China akijipendekeza na yeye atabanwa kwa upande wakePutin kasema Russia is" immune " to sanctions
Ni kwasababu anaenda kudidimia kiuchumi Marekani skuizi mpango wao ni huo nchi zinashika adabu kweli kweli hao Iran kila siku wanalalamika njaa., Marekani ni Taifa ambalo miaka mingi iliyopita walitafakari ni njia gani sahihi kuitawala dunia? majibu ndio yanakuja sasa, vikwazo ni adabu zaidi kuliko vitaMbona Naona hapa baada ya vikwazo vipya ambavyo U.S kaweka, Rais wa Russia kaomba yawepo mazungumzo ya amani.
Putin kaomba Diplomatic solution to resolve the crisis
Source aljazeera
Wanasoma nyuzi na kuumia tuNasubiri wamarekani wa tandale na bunju watakuwa wana maoni gani kuhusu hili suala
Hivi Kwan mrusi na yeye hawezi kumuwekea vikwazo mmarekani....???Ni kwasababu anaenda kudidimia kiuchumi Marekani skuizi mpango wao ni huo nchi zinashika adabu kweli kweli hao Iran kila siku wanalalamika njaa., Marekani ni Taifa ambalo miaka mingi iliyopita walitafakari ni njia gani sahihi kuitawala dunia? majibu ndio yanakuja sasa, vikwazo ni adabu zaidi kuliko vita
Ah yaan wewe unafkiri marekani anahitaji gesi kutoka Russia...???Hivi Kwan mrusi na yeye hawezi kumuwekea vikwazo mmarekani....???
Iran, Cuba, North korea zinamiaka mingap chin ya vikwazo na zinadunda..?Ni kwasababu anaenda kudidimia kiuchumi Marekani skuizi mpango wao ni huo nchi zinashika adabu kweli kweli hao Iran kila siku wanalalamika njaa., Marekani ni Taifa ambalo miaka mingi iliyopita walitafakari ni njia gani sahihi kuitawala dunia? majibu ndio yanakuja sasa, vikwazo ni adabu zaidi kuliko vita
Mugabe nae aliwakazia [emoji23] [emoji23]Iran, Cuba, North korea zinamiaka mingap chin ya vikwazo na sinadunda..?
ww jamaa unashida gani sio kwadunia yasasa kwani hili alilolifanya PUTIN kalifanya mwaka 1890 nangapi?Sio kwa dunia ya sasa, hizo ni siasa za miaka ya 40 huko, yaani mtu akiwa mpinzani wako, tu kisiasa unachokiona ni kumuua/kumfunga? Wameamua vipi?au ni kulazimishwa tu, ina maana hata hapa kwetu tumeamua kuwa na bunge la chama kimoja, uongozi kuanzia kijiji hadi taifa ni CCM tu?!!
endeleeni kudanganyika [emoji5][emoji4][emoji4]Ngoja tuone gesi yake atamuuzia nani, China akijipendekeza na yeye atabanwa kwa upande wake
Ndivyo marekani kwa dunia ya sasa anavyowatia adabu hawa wanaojaribu kujilinganisha naye na hii inafanya kazi zaidi kuliko vita
labda wakatawale akhera sio duniaNi kwasababu anaenda kudidimia kiuchumi Marekani skuizi mpango wao ni huo nchi zinashika adabu kweli kweli hao Iran kila siku wanalalamika njaa., Marekani ni Taifa ambalo miaka mingi iliyopita walitafakari ni njia gani sahihi kuitawala dunia? majibu ndio yanakuja sasa, vikwazo ni adabu zaidi kuliko vita
Na hii one man show ndo itawabeba sahivi...............Biden sahv ana presha za uchaguzi ujao kama atapita salama huku trump kaanza tena kubip ,unaenda kutunishiana msuli na mtu ambae anajua yeye kutoka kwenye cheo chake labda wewe ndo umuue hana presha za uchaguzi wala mambo yakuridhisha wananchi ili achaguliwe tena yeye amefocus tu kwenye interest zake tu baas,,,,,........wale jamaa wakivurugana unaweza ukasikia tu hata asubuhi bunge limemkataza rais kupeleka wanajeshi kusaidia nato......Russia kinachowaangusha hawana taasis imara kuna kiongoz wao mmoja sjui n Boris yestin aliuza Alaska kwa marekan yan huwa wana amin one Man show huwa mipango mingi inaamuliliwa na kiongoz mmoja wa nchi
Mkuu Russia alishamchapa Georgia ambaye ni member wa NATO mwaka 2008 na NATO walikaa kimya tu.Tokea awali Marekani alisema atatoa msaada wa silaha na siyo kuingiza wanajeshi wake vitani, pia labda mtu iwe akili zake haziko sawa kuamini Marekani anaweza kuingia vitani na Urusi kisa ni jimbo lililo huko Ukraine. Nchi za NATO nazo zimetoa baadhi ya msaada kwa Ukraine kama rafiki tu na siyo mwanachama. Ukitaka kuona kile NATO wanaweza kukifanya, Putin ajichanganye kuchukua eneo la nchi mwanachama wa NATO.
Mkuu Russia alishamchapa Georgia ambaye ni member wa NATO mwaka 2008 na NATO walikaa kimya tu.
Mkuu Russia sio ya kitoto asee, anaweza kusimama nao wote hao na akawatoa nishai
Ngoja tuone gesi yake atamuuzia nani, China akijipendekeza na yeye atabanwa kwa upande wake
Ndivyo marekani kwa dunia ya sasa anavyowatia adabu hawa wanaojaribu kujilinganisha naye na hii inafanya kazi zaidi kuliko vita
Mkuu fuatilia mamboo Iran kabla walikataa chanjo za AstraZaneca toka marekani juzi wameomba poo wamepokea mzigo chanjoo toka marekaniingekua inafanya kazi iran n north korea zingesalimu amri siku nyingi!
Georgia alijiunga NATO lini? Russia ni overrated, simshangai hizi fujo anazozileta kwa majirani kwani ni wazi maadui zake wanataka kumzingira hapo nyumbani hivyo lazima apambane kwa kiasi chake. Hiyo siku atayonyanyua mikono kupigana na NATO dunia itakuwa imempata Hittler wa pili.Mkuu Russia alishamchapa Georgia ambaye ni member wa NATO mwaka 2008 na NATO walikaa kimya tu.
Mkuu Russia sio ya kitoto asee, anaweza kusimama nao wote hao na akawatoa nishai
Mambo yameivakaaa hukoo pro America wapuuzi nyinyi tayari Kiev kimenuka mwamba anashambulia pande zote za Kiev hawezi hawezi wajinga nyinyi pro [emoji635] mpo wapiiiiii tushangililie ushindi wetuuuGeorgia alijiunga NATO lini? Russia ni overrated, simshangai hizi fujo anazozileta kwa majirani kwani ni wazi maadui zake wanataka kumzingira hapo nyumbani hivyo lazima apambane kwa kiasi chake. Hiyo siku atayonyanyua mikono kupigana na NATO dunia itakuwa imempata Hittler wa pili.