Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

Ni kweli siwatetei NATO ila huwa wanaenda Baraza la usalama kwanza kutoa kauli. Putin anafanya analojisikia linamfaa yeye kama alivyolazimisha majimbo mawili ya Kreimia na lile jingine wajitenge. At last sasa ni mikoa yake.
Sasa ulitaka afanyaje wakati hao NATO walikataa kumjoin ili awe member wa NATO !? Acha akichafue tu , kwanza Kama mtu unajimudu kwanini uombe ruksa , unaomba ruksa ili iweje kwa mfano
 
Hii hoja yako inakosa uhalisia. Putin bado ana mawazo ya kuirejesha upya ile iliyokuwa USSR, kikwazo kikubwa ni baadhi ya mataifa yameshajiunga NATO na mengine yapo kwenye mchakato. Kwa yale ambayo yapo ndani ya NATO, ni kama Urusi kayapoteza tayari kwani huko hawezi kurusha hata jiwe, kikubwa anatafuta yale ambayo bado yapo kwenye
mchakato.Kwa muda mrefu Urusi inaamini Ukraine ni muhimu la kimkakati na usalama wa Urusi.
Kama Urusi ataridhika na hayo majimbo mawili itakuwa afadhali kwa Ukraine ili aweze kujipanga upya.
Bila Ukraine kutafuta nuclear tena kwa haraka, Urusi ataendelea na huu utaratibu wake wa kujimegea eneo kila akitaka.
 
Jamani mwenzenu nabwedaaa hukuu PUTIN ANANIPA UTAMUUU WOYOOO wapi cowboys wa US naona wameufyataaa kazi kubwekaaa kama mbwa koko wa kwa mpalange woyooo PUTIN PUTIN PUTIN
Oyaaaaa Putin kajua kutufurahisha manina zake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Aendelee hivi hivi , kwanza Russian wampe decree ya kutawala milele Kama vipi
 

Tatizo walichagua rais msanii wa kichekesha Kama mr bean
 
Natumefurahiiiii sisi wa Russian na kwa taarifa nilizozipata kutoka Moscow putin kalala salama kabsaa na Kala kashiba na kunywa vodka ya Bambuu wale wamarekani wa uyowa mlokuwa mnatoa takwimu za ndege zenu kuwa ni hatari wapuuzi nyinyi mlinichukiza Sana na uchambuzi wenu njooni hapa CNN na BBC wakubwa nyinyi mjomba kaingia mjini mtafanya nn tulishawaambia put in hakuzaliwa kuogopa mashoga haya mmeumbka bango limewaka taa show show mtazificha wapi sura zenu hii iwe fundisho kwenu

axxxxbhfdcvvgsd upuuzi edssdgggdadg bora aasftghbb mkatuliza seffsfgfdg vijambio dsdgvbb

Putin yavlyatetsya luchshim prezidentom vetoy vselennoy.
 
Tokea awali Marekani alisema atatoa msaada wa silaha na siyo kuingiza wanajeshi wake vitani, pia labda mtu iwe akili zake haziko sawa kuamini Marekani anaweza kuingia vitani na Urusi kisa ni jimbo lililo huko Ukraine. Nchi za NATO nazo zimetoa baadhi ya msaada kwa Ukraine kama rafiki tu na siyo mwanachama. Ukitaka kuona kile NATO wanaweza kukifanya, Putin ajichanganye kuchukua eneo la nchi mwanachama wa NATO.
 
Nasisi kuna vinchi hapa naona kama ni mikoayetu tu, tuangalie ramani ja mjerumani alafu tufanye yetu.
Hakuna haja hiyo, wacha kila mtu aishi apendavyo, kama vikitaka kuja vitakuja kwa jumuiya ya Africa Mashariki.
 
US na NATO walisema wao wataweka vikwazo na si vinginevyo.

Ni ngumu kupambana kijeshi kuisaidia Ukraine directy kwa sababu sio member wa NATO ndio maana walimpa vifaa vya kijeshi,ni wajibu wake kupambana.
Ukraine kwa sasa hana ubavu kwa Urusi, asubiri vumbi itulie ajikite kutafuta silaha za maana hasa nukes,nje ya hapo sioni Urusi akitishika.
 
Wewe tiliza kitushulio NATO hawana cha kufanya zaidi ya biti za kaboka mchizi
 
Tatizo lako unaifahamu US pekee na RUSSIA huijui
 
Warusi waje waichukue na Tz
 
22 February 2022

Balozi mstaafu wa Marekani katika NATO luteni jenerali mstaafu Douglas 'Doug' Lute achanganua mbinu za medani za uvamizi tarajiwa ulivyosukwa na Russia ktk majimbo ya Ukraine ya Mashariki yalitojitangazia uhuru
  1. Raia wa Ukraine kushangilia kwa fashifashi
  2. Bendera za Urusi kuonekana zikipeperushwa na wananchi wa Ukraine ya Mashariki
  3. Hii siyo ngeni zinafuata mbinu zilizotumika 2008 kuivamia Georgia na 2014 kuimega rasi ya Crimea toka Ukraine
  4. Uvamizi huu unaweza kufika mpaka magharibi kisha kuingia mji wa Kyiv mji mkuu wa Ukraine
  5. Uvamizi huu ni muendelezo wa Russia kuendelea kujitanua kimaeneo, hivyo dunia itegemea nchi kadhaa kuvamiwa kwa mtindo huu.

Former NATO ambassador: Russian tanks moving to East Ukraine would be ‘invasion’

In Ukraine, former U.S. ambassador to NATO Doug Lute dissects what Russia’s latest moves mean for concerns of a full-scale invasion of Ukraine.
Source : ABC News
 
Hao mabeberu siku zao zinahesabika ,, safi sana putin.

Hao mabeberu waendelee huku africa kufanya ubeberu wao wa kipuuzi
 
Kusema kweli Mimi nimejawa na huruma.
Namuonea huruma sana Rais wa Ukraine kwa sababu ameingizwa matatizoni na USA
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 DEAL DONE
 
Anaweza kuchukua na NATO wakabaki wakibweka tuu.
Kumbuka kauli ya Putin.
"Sisi tutakwenda mbinguni. Wao hawatakwenda. Kwani hatutawapa nafasi ya kutubu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…