The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nchi nyingine zitaongeza uzalishaji kufidia upungufu..Welcome to the new world where Europeans will pay 2,000 euros for a thousand cubic meters of gas", this is how Medvedev reacted to the suspension of the "North Stream 2" certification https://t.co/iK4wQk9YM0
Naunga mkono hojaPutin aje kuichukua na hii bongolala tu..tumechoka na hii serikali
NakaziaNgome ambayo haina hata commanding post hata moja? Tukubali urusi kwa sasa hakuna cha USA au NATO anaeweza kuisumbua Russia [emoji635]
Mda wote walisema wataweka vikwazo na kuwasidia silaha hao Ukraine.Silaha zao mikwara yao yote waliyotoa waliamini Russia ataogopa ona misaada yao yote inaweza kuchukuliwa na Russia wao sa ivi wanawaza kuweka vikwazo
Russia wamepigana na watabe wa dunia kawatoa kamasi sause Hao nato kaishi na vikwazo mpka vikwazo vyenyewe vinajiuliza au sisi sio vikwazo na tuseme putin ni mpango wa MunguTunajua vita inagharimu sana maisha ya watu na uchumi. Russia ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi wataishi vipi baada ya vita? Wana mpango mbadala au watasalimu amri Kwa NATO? Don't you think USA na NATO kama wamemtoa chombo Ukraine ili wamuingize kwenye 18 Urusi kwenye uchumi then wamle nyama?
Ulimsikia Putin jana akifafanua vile USSR ilivyoanguka?Putin hana huo mpango jombaaa...
Ambacho hataki ni Nato kutaka Ukraine iingie Nato kitu kinachohatarisha usalama wa RUSSIA
Miaka yote anasimama peke yake...ila kuna watu imara wanaofuatilia hii mbungi kwa karibu sana CHINA, N.KOREA, IRANNato wakiingia Inamaana Putin atasimama peke yake?
Jamaa wametulia kama hawajui kinachoendelea [emoji16][emoji16]Miaka yote anasimama peke yake...ila kuna watu imara wanaofuatilia hii mbungi kwa karibu sana CHINA, N.KOREA, IRAN
Yaleyale hana jipya..BIDEN yuko Live nae, ngoja tuone ataamua nn
Putin kawaaibisha, yaani wameonekana ni wachumba Tu, US na NATO Yao!labda hio vita ipiganwe humo humo ndani ya UKRAINE maana hamna ataeweza rusha hata jiwe ndani ya mipaka ya RUSSIA nasema tena.hakuna
NATO wamemuingiza chakike UKRAINE wakamvimbisha kichwa halaf wanamacha
na atamega mpaka iishe c hawana adabuHii hoja yako inakosa uhalisia. Putin bado ana mawazo ya kuirejesha upya ile iliyokuwa USSR, kikwazo kikubwa ni baadhi ya mataifa yameshajiunga NATO na mengine yapo kwenye mchakato. Kwa yale ambayo yapo ndani ya NATO, ni kama Urusi kayapoteza tayari kwani huko hawezi kurusha hata jiwe, kikubwa anatafuta yale ambayo bado yapo kwenye
mchakato.Kwa muda mrefu Urusi inaamini Ukraine ni muhimu la kimkakati na usalama wa Urusi.
Kama Urusi ataridhika na hayo majimbo mawili itakuwa afadhali kwa Ukraine ili aweze kujipanga upya.
Bila Ukraine kutafuta nuclear tena kwa haraka, Urusi ataendelea na huu utaratibu wake wa kujimegea eneo kila akitaka.
sawa msemaji wa kremlinNATO wamemsaidia sana, maandalizi ya Urusi hayakuwa kuchukuwa haya majimbo mawili bali nchi nzima.
Putin yeye bado ana siasa zile za ubabe wa kiafrika, sasa ukraine kuna warusi ambao ndio walijitenga na kuhamia kwenye hayo majimbo mawili, na kuleta upinzani wa kutaka kuiondoa serikali ya kiev, kwa msaada wa putin, mwaka 2014, aliivamia krimea na kuichukua, na bado anataka kuichukua ukraine, ndio maana , ukraine anajiona atakuwa salama endapo akijiunga na NATO.wewe waangalie marafiki zake putin , ndio wale wale wenye akili za kifrika.Kitakachofuata ni hayo majimbo kuitisha kura ya Maoni wataamua wawe sehemu ya Urusi na ndio mchezo umeisha .....Nadhani kwasasa tukubali ipo siku zitawaka kati ya US na Hao jamaa zake na Urusi kwa upande mwingine.
Lakini pia Upande Mwingine simlaumu Mrusi nalaumu Ukraine kutokujitambua wao wanaambiwa usijiunge na hao wauaji wa NATO watakuja Kutusumbua hapa Jirani wajangangania.
Mtu mwenyewe wanahangaika nae Putin ambae hajali kitisho kabisaaa. . .Putin ni Mwamba kweli....atawapelekea moto mkali na itakua shida
vietnam Somalia Afghanistan Iraq Libya Venzuela Cuba Iran SyriaChechnya ,Georgia, Syria na hatimaye Ukraine muendelezo wa umwagaji damu ya wasio na hatia. Putin siyo wa kuchekewa. Civilized world must come together as one and teach Vladmir Putin a lesson or two on civility and peaceful co-existence.
Hayo majimbo yalishakua na vuguvugu kujiondoa Ukraine...sasa yamejitangaza kua huru ...Russia jana wamekubali kua yapo huru na wamesign watashirikiana....Russia kaingiza jeshi kuwalinda ...askari wa Ukraine hawatakiwi kuwepoMm sijaelewa jambo moja, haya majimbo ni sehemu ya Ukrain au ni majimbo yaliyo huru kujichagulia?