Kitakachofuata ni hayo majimbo kuitisha kura ya Maoni wataamua wawe sehemu ya Urusi na ndio mchezo umeisha .....Nadhani kwasasa tukubali ipo siku zitawaka kati ya US na Hao jamaa zake na Urusi kwa upande mwingine.
Lakini pia Upande Mwingine simlaumu Mrusi nalaumu Ukraine kutokujitambua wao wanaambiwa usijiunge na hao wauaji wa NATO watakuja Kutusumbua hapa Jirani wajangangania.
Mtu mwenyewe wanahangaika nae Putin ambae hajali kitisho kabisaaa. . .Putin ni Mwamba kweli....atawapelekea moto mkali na itakua shida
Putin yeye bado ana siasa zile za ubabe wa kiafrika, sasa ukraine kuna warusi ambao ndio walijitenga na kuhamia kwenye hayo majimbo mawili, na kuleta upinzani wa kutaka kuiondoa serikali ya kiev, kwa msaada wa putin, mwaka 2014, aliivamia krimea na kuichukua, na bado anataka kuichukua ukraine, ndio maana , ukraine anajiona atakuwa salama endapo akijiunga na NATO.wewe waangalie marafiki zake putin , ndio wale wale wenye akili za kifrika.
Hivi kweli NATO nao sasa waamue liwalo na liwe kama ni vita potelea mbali, URUSI, ataweza, ?uchumi wenyewe ndio huo, ukilinganisha na nchi za ulaya!!sema NATO, wao kimaamuzi ni tofauti kidogo na URUSI, viongozi wake, hawana mamlaka ya moja kwa moja kuamua , tofauti na URUSI, yaani ni mizungu yenye akili za kiafrika, putin akisema kesho hivi amemaliza hakuna wa kupinga!! Rais wa
Beralusi naye ni kinyago cha putin, kwani toka apigwe pin na EU, kwa siasa za kifrika kwa watu waliostarabika akaona, wa kumuokoa ni putin!!
NATO HAIJAAMUA TU,