Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Unaongea ukweli bila ushabiki, Hongera.
 
kwani dozi ilipungua ndugu mrusi wa buza?
mbona anagawa kipigo na hatuoni kipigo chake zaidi ha kupiga maeneo ya raia tu
Utajua wapi mambo hayo wewe mUkraine wa Tandahimba!

Nenda Ukraine ukapewe bunduki upambane na midege ya kivita na mabomu ya kuyeyusha mwili wa mwanadam. Raisi wenu ze Comedian kawaondolea uhitaji wa Viza ya kuingia Ukraine
 
Weww muongo, watu wanakimbilia poland unasema watapambana na urusi? Vikosi vya Russia wapo ukraine unadhani nchi itatawalika? Wanaoumia ni raia wa Ukraine sio nyinyi waganga njaa na mashabiki wa mitandao.
 
Naongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.
Kwa iyo toka aingie ukraine kasharudishwa mpaka tu kwenye mpaka wake, zaidi ya kila siku kuteka maeneo.sasa inafaida gani kujisifia umeuwa Warusi wengi huku kila kukicha wanazidi kujiongezea majimbo.
 
BBC, CNN and the like, wameshindwa kabisa kushawishi dunia. Sanctions childish propaganda zao zimezimwa. Russia is very Serious wenyewe wanaleta mbwembwe. Ni wakati wa kujua sasa mbabe ni nani.
Haha mbona povu mkuu kwamba Russia ataikalia Ukraine kama atashidwa kufata hayo masharti yake?
 
Hilo popoma Hilo [emoji16]
 
Kambambane na uchafuzi wa mazingira kule Kibera kwanza
 
Warusi wako busy kutoa pesa zao benki
 
Makubaliano ndio muhimu Ukraine arudi chini tu maana hana nguvu za kupambana na Russia na hao anaowategemea wamemtenga
 
Hivi una akili kweli !? Hebu tazama hzi picha na uache porojo ,wenzio wapo katika wakati mgumu huko ,, wewe unapiga porojo hapa unadhani Vita na mrusi Ni. Masihara
 
Makubaliano ndio muhimu Ukraine arudi chini tu maana hana nguvu za kupambana na Russia na hao anaowategemea wamemtenga
Sio wametenga wasiwasi wa kucheza na mjinga ni hatari tambua mjinga hana cha kupoteza mkuu Putin ni kama amepatwa wazimu anakurupuka tu sasa amepeleka 70%ya jeshi lote Ukraine wanajeshi wanapiga mabom raiya jamaa saivi alipo anaropoka tu hapo alipo.
 
I always see him as a very weak madman, ndio maana kila wakati anapenda kujitutumua,
Ukitaka kujua kwanini he is a weakman?
1.Anaogopa sana upinzania wa ndani
2.Anawaua sana wapinzani wake
3.Yuko tayari kutumia gharama kubwa kubaki madarakani
4.Anafanya kazi ya kurig elections
5.Anatumia weakness ya jeshi kujibakiza madarakani.
6. Bado ana mawazo ya Russia ya miaka ya 47.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…