Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Japo msimamo wangu ni kila nchi iwe huru kujiamulia mambo yake na Urusi hana haki ya kuamua maslahi ya Ukraine lakini sioni ulazima wa Ukraine kujiunga NATO kwa gharama ya kuhatarisha amani ya dunia, na pia sioni umuhimu wa USA/NATO kuweka silaha zake Ukraine kwa gharama hiyo hiyo ya kuhatarisha amani ya dunia.
Unaongea ukweli bila ushabiki, Hongera.
 
kwani dozi ilipungua ndugu mrusi wa buza?
mbona anagawa kipigo na hatuoni kipigo chake zaidi ha kupiga maeneo ya raia tu
Utajua wapi mambo hayo wewe mUkraine wa Tandahimba!

Nenda Ukraine ukapewe bunduki upambane na midege ya kivita na mabomu ya kuyeyusha mwili wa mwanadam. Raisi wenu ze Comedian kawaondolea uhitaji wa Viza ya kuingia Ukraine
 
Hivi vita ni complicated, maana ataishia kupigana na Wa-Ukraine, sio jeshi tu, kadiri anavyozidi kushindwa kuiteka Kiev ndio raia wanazidi kuamini kumbe alikua nguvu ya soda na kupata ujasiri wa kujichimbia.
Hamna kitu kigumu kama kupigana na wananchi kwenye yao....
Weww muongo, watu wanakimbilia poland unasema watapambana na urusi? Vikosi vya Russia wapo ukraine unadhani nchi itatawalika? Wanaoumia ni raia wa Ukraine sio nyinyi waganga njaa na mashabiki wa mitandao.
 
Naongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.
Kwa iyo toka aingie ukraine kasharudishwa mpaka tu kwenye mpaka wake, zaidi ya kila siku kuteka maeneo.sasa inafaida gani kujisifia umeuwa Warusi wengi huku kila kukicha wanazidi kujiongezea majimbo.
 
BBC, CNN and the like, wameshindwa kabisa kushawishi dunia. Sanctions childish propaganda zao zimezimwa. Russia is very Serious wenyewe wanaleta mbwembwe. Ni wakati wa kujua sasa mbabe ni nani.
Haha mbona povu mkuu kwamba Russia ataikalia Ukraine kama atashidwa kufata hayo masharti yake?
 
Wenzako wanachezea kichapo huko ww unaleta porojo hapa [emoji16][emoji23]
Jinga Sana Hilo jamaa na Wana kung'utwa kweli kweli Hadi huruma

Jamaa wanazidi kusonga Kama siafu
Screenshot_20220301-114518.jpg
20220301_111858.jpg
 
Vita ya mbali gani na wakati Marekani ana base kibao Middle East na pia washirika wake lukuki walioingia nae vitani wapo karibu na Iraq. Au kwa akili zako wadhani umbali wa kuruka kwa ndege toka UK/France ni sawa na umbali toka Kenya hadi Iraq?

Kama ni gharama sana nani alimtuma? Kwanza wewe nani hadi uzungumzie kuwa ni gharama sana? Ulichangia hata thumni kwenye kupeleka hao wanajeshi?
Hilo popoma Hilo [emoji16]
 
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.

Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Kambambane na uchafuzi wa mazingira kule Kibera kwanza
 
Putin kishaminywa makende anatafuta pa kutokea na inaonekana hakujiandaa kiuchumi, ukiona central bank wameanza kuhaha ujue kinachofuata ni vita ya ndani, nasikia wamepandisha interest rate to 20% kutoka 9% na international bank zote sasa ni useless kutokana na sanctions alizopigwa, subiri warusi waanze kubeba pesa kwenye matoroli kwenda kununua mikate ndio utajua tumbo halina uzalendo
Warusi wako busy kutoa pesa zao benki
 
Makubaliano ndio muhimu Ukraine arudi chini tu maana hana nguvu za kupambana na Russia na hao anaowategemea wamemtenga
 
Hivi vita ni complicated, maana ataishia kupigana na Wa-Ukraine, sio jeshi tu, kadiri anavyozidi kushindwa kuiteka Kiev ndio raia wanazidi kuamini kumbe alikua nguvu ya soda na kupata ujasiri wa kujichimbia.
Hamna kitu kigumu kama kupigana na wananchi kwenye yao....
Hivi una akili kweli !? Hebu tazama hzi picha na uache porojo ,wenzio wapo katika wakati mgumu huko ,, wewe unapiga porojo hapa unadhani Vita na mrusi Ni. Masihara
Screenshot_20220301-124201.jpg
20220301_111858.jpg
Screenshot_20220301-113512.jpg
 
Makubaliano ndio muhimu Ukraine arudi chini tu maana hana nguvu za kupambana na Russia na hao anaowategemea wamemtenga
Sio wametenga wasiwasi wa kucheza na mjinga ni hatari tambua mjinga hana cha kupoteza mkuu Putin ni kama amepatwa wazimu anakurupuka tu sasa amepeleka 70%ya jeshi lote Ukraine wanajeshi wanapiga mabom raiya jamaa saivi alipo anaropoka tu hapo alipo.
 
He is a serial narcissistic controlling
Sadist .Century Hii anawaza ukoloni vita .Narcisstics tend to destroy themselves .Putin 8 days a go nilikuwa name ona very strong leader very colorful resume patriotic Kumbe he is a thug na a serial
Killer using his own people to do what he wants .Putin ameniacha hoi na anatishia nuclear very dangerous men
I always see him as a very weak madman, ndio maana kila wakati anapenda kujitutumua,
Ukitaka kujua kwanini he is a weakman?
1.Anaogopa sana upinzania wa ndani
2.Anawaua sana wapinzani wake
3.Yuko tayari kutumia gharama kubwa kubaki madarakani
4.Anafanya kazi ya kurig elections
5.Anatumia weakness ya jeshi kujibakiza madarakani.
6. Bado ana mawazo ya Russia ya miaka ya 47.
 
Back
Top Bottom