kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Unaongea ukweli bila ushabiki, Hongera.Japo msimamo wangu ni kila nchi iwe huru kujiamulia mambo yake na Urusi hana haki ya kuamua maslahi ya Ukraine lakini sioni ulazima wa Ukraine kujiunga NATO kwa gharama ya kuhatarisha amani ya dunia, na pia sioni umuhimu wa USA/NATO kuweka silaha zake Ukraine kwa gharama hiyo hiyo ya kuhatarisha amani ya dunia.