Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

Wewe unaleta dhihaka kata kwenye kifo binadamu gani wewe?
 
Juzi nimeona picha viongozi wa 5imba walienda kituo cha watoto yatima kutoa sadaka but hakuna shabiki wa Yanga aliingiza mambo ya kishirikina but ingekuwa ndio Yanga ungeona kashfa kibao hapa.
 
Watu ni wapumbavu sana. Sasa unakufa kwa ujinga tu na uzembe eti kisa ushabiki. Unaachia watoto wako na ndugu zako maumivu makubwa na mateso mazito kwa upumbavu.

Watu wote mwishowe tutakufa ila kifo cha kipumbavu kama hicho sio cha kujitakia.
Wewe ndio kiongozi wa wapumbavu wote Tanzania.
 
Wiki hii ina hekaheka sana. Pole kwa wote walioumia katika ajali hii.

Wachezaji wa Simba hasa ambao bado ni wageni waonyeshwe hizi taarifa ili wajue kuna watu wanaumia huku kitaa kwa ajili ya hii timu, wasichukulie poa haya mambo
Mlitakiwa muwaonyeshe kabla hamjawasajili,kwasasa its too late.
 
Halafu hizi safari za vikundi fulani huwa zina ujinga flani hivi wa kunywa pombe,kuimba na kushabikia speed.
 
Kenge wewe una ujumbe mzuri lakini at the wrong thread
 
Uko sahihi mno mno. Hizi ni zana za serikali za kuwapumbaza wananchi. Na uratibu wa hii shughuli wamepewa mafisadi wasio na uchungu na nchi , MO na GSM.
 
Kupitia post hii shakujua .. endelea na upumbavu wako!

Sawa mkuu usitegemee nitatukana wala kutoa Lugha ya kudhi.

Hao mashabiki walishindwa nini kujikusanya Huko tunduma na kuangalia Mpira???

Utembee km 9000 kisa simba na yanga!!!!

SHAME.
 
Wewe unaleta dhihaka kata kwenye kifo binadamu gani wewe?
Dhihaka mnaletaga nyie mimi nawakumbusha tu kuwa leo imewafika upande wenu nashangaa anayejifanya anajua za ndani kakaa kimya. Kwani unadhani nyuzi hakuna humu mnavyoleta dhihaka kwenye misiba ya upande wa Yanga? Nawakumbusha dhihaka mnazotufanyiaga mfanye na ikitokea na kwenu pia.
 
Mkuu mbona akili zako finyu hivi.. wewe huna starehe au kitu unavhokipenda! Ajali huwapata watu wakiwa katika hekaheia za maisha Yao... Mshukuru Mungu upo mzima! Mpuuzi wewe!
Nadhani suala siyo ushabiki wa mpira. Msome vizuri. Ni hivi. Hizi timu zinatumika kupumbaza watu ili wasikumbuke kuhoji uzembe wa serikali. Hebu ngoja nikufafanulie vizuri: Hiyo ajali kwa kiasi kikubwa imetokana na ufinyu wa barabara. Na ufinyu wa barabara umetokana na serikali ya kifisadi. Hao majeruhi hawatapata msaada unaostahili kimatibabu na kiuchumi. Hii ni kwa sababu serikali haina sera ya kuwajali wananchi wake. Huoni kuna umuhimu wa kususia ushabiki maandazi wa mpira ili tufanye mambo ya msingi kwanza? Kwa kifupi kama kuna majeruhi na vifo kwenye hiyo ajali hiyo imekula kwao.
 
Sawa mkuu usitegemee nitatukana wala kutoa Lugha ya kudhi.

Hao mashabiki walishindwa nini kujikusanya Huko tunduma na kuangalia Mpira???

Utembee km 9000 kisa simba na yanga!!!!

SHAME.
Kutembea unaweza kutembea ila mambo mengine yawe yako sawa. Serikali iwe inawajibika kwa raia na ajali kama hii ikitokea uwe na uhakika wa matibabu mazuri na hata kama utapata ukilema kuwe na namna ya kukusaidia. Hii ni kwa sababu huu ushabiki unatumiwa na serikali kupumbaza raia. Sasa njia nzuri ni kuifanya serikali ijue kuwa sisi raia hatudanganyiki kwa kususia haya malimbwata yao.
 
Mtakuja kufa na kuacha Familia zenu yatima kwa kuendekeza Ujuha wa simba na yanga.

FICHA UPUMBAVU WAKO.
Lakini kaka mkubwa siku hizi sijui umepatwa na nini!
Watu wanakufa tu, haijalishi kwa kushabikia soccer ama kitu gani.

Hata nyinyi wazinzi tunawazika kila siku huku mitaani.

Ushauri wangu kwako, kama umechoka kushabikia soccer (maana we ni shabiki mzuri tu wa Simba) ni bora usiwe una commenti kitu kwenye jukwaa hili la michezo, maana majukwaa yapo mengi tu humu JF.

Hivi huoni unavyo jitia haibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…