Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

pole sana kwa ajali hiyo nzito mashabiki wa Simba.
Pole pia majuruhi wote. Mwenyezi Mungu wape ahuweni katika maumivu mnayoyapitia kwwnye majeraha na uponyaji wa mapema🐒

hata hivyo,
katika vipindi vya muhimu vya siku kuu ni vizuri kujizuia au kusafiri kwa kwasababu ya mambo muhimu ya maana na yenye ulazima wa kipekee 🐒

Bado nawaombea neema na baraka za Mungu majeruhi wote wapate nafuu na uponyaji wa mapema 🐒

God bless Simba, God bless Yanga
Happy Easter in Advance
 
Ukizingatia ulikuwa unategemea mechi ikiisha tu mgeuze kurudi mbeya...mkononi umebeba 20 tu ya safari.

Dereva alivamia kicheche nini?
 
Sinaga starehe.

Labda starehe yangu ni Kumtumikia Mungu.

Hao wamepatwa na Ajali kwa kuendekeza upumbavu utoke mbeya hadi Dar kisa Mpira hapana kwakweli.
Starehe nyingine ni ujinga.

Zaidi ya km 822 na mwendo wa saa 15 kisa Mpira wa akina Fredy..
Pesa yao wamelipia nauli wakati wewe pesa yako kila mwisho wa wiki na mwezi unampelekea mwamposa au kuhani musa.

JITATHMINI
 
H
Kweli kabisa
Robo fc wanaamini sana ushirikina ila kilichotokea naamini ni uchovu kwa dreva huenda hakuwa na uvumilivu wa safari ndio maana kapata ajali akiwa mwisho kabisa wa safari akili ikiwa imeanza kuchoka
Hizo ni coaster za hakuna kulala ,dereva anasukuma chuma usiku kucha aisee ili dar waingie asubuhi wakimaliza mechi jioni chuma inageuka bila ya kujali uchovu wa dereva. Hiyo gari ilitakiwa walale chalinze kukipambazuka waendelee na safari
 
I second you.
 
Kupitia post yako ni kwamba umelisema lile lile unalolikemea kufanywa na washabiki wa Simba.
 
Mtakuja kufa na kuacha Familia zenu yatima kwa kuendekeza Ujuha wa simba na yanga.

FICHA UPUMBAVU WAKO.
Mkuu kila mtu ana namna yake ya kufurahia maisha yake,si sahihi kuwaona waliotoka mikoani kuja kushangilia timu kuwa ni wapumbavu,basi na wao wakuone wewe ni mpumbavu kwa staili yako ya maisha?
 
Mbona na wewe kutwa nzima uko humu kujibishana na hao hao unaowaona ni wapumbavu sasa wewe tukuite nani unayeshinda kutwa nzima kujibishana na wapumbavu?
 
Jali Mambo yako achana na kauli za kitoto wakati watu wanaomboleza vifo vya wapendwa wao.
 
Kupitia post yako ni kwamba umelisema lile lile unalolikemea kufanywa na washabiki wa Simba.
Na mwisho wa siku limekuuma, ndipo ujue hata nyie mnavyofanya huumiza hisia za watu vile vile. Mkuki kwa nguruwe..........
 
H

Hizo ni coaster za hakuna kulala ,dereva anasukuma chuma usiku kucha aisee ili dar waingie asubuhi wakimaliza mechi jioni chuma inageuka bila ya kujali uchovu wa dereva. Hiyo gari ilitakiwa walale chalinze kukipambazuka waendelee na safari
Labda wakati mwingine atapatikana wa kuwaza hivi nimeona wengi wametoboa wako taifa saa 12 Ile ni hatari sna basi tu ni tumefundishwa kutokujali tukiamini Kila kitu ni mipango ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…