Qatar ambaye ni mwenyeji wa FIFA World Cup 2022 ameweka mfano mpya ambao nchi za Kiafrika hatunabudi kujifunza, hili ni Kombe la Dunia la pekee.
Kumbe ina wezekana kuanda Kombe la Dunia na kufanikiwa bila kuleta malaya, makahaba nchi jirani kuhudumia mashabiki kingono, bila kutetea upinde (mashoga) na kuepuka ulevi uwajani.
Wazungu walikua wanatuaminisha kwamba pombe, umalaya na ushoga unaenda sambamba na michezo wa mpira kwa lengo la kuharibu nchi za Afika zisizokuwa na msimamo.
Qatar imetumia hii FIFA World Cup kuonyesha Dunia tamaduni zao, dini yao na maendeleo yao ya nchi.