Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Sitetei wanachofanya Qatar nakataa unafiki wa Nchi za Magharib wao kila siku wanaua, wanaangusha serikali, ila kwao sio maovu ila wengine wakifanya hivyo ni tatizo.Wapi wewe huko watu wanakazana kama kawa.
Sitetei dhambi bali naongea uhalisia
Nilichojifunza kwa Qatar ukiwa na pesa hakuna fala wa kukupangia maisha na jinsi ya kuishi. Kila kitu unafanya vile unataka