Kufuatia Kipigo ilichokipata Ufaransa dhidi ya Argentina katika hatua ya Fainali ya Kombe la Dunia la soka, ni pigo kwa wafuasi wao ambao waliegemeza nguvu zao wakisubiri ushindi huo ili kushindilia zaidi hoja zao za LGBTO .
View attachment 2451061
Hili limekuja baada ya FIFA kupiga marufuku kampeni hizo za Rainbow kwa timu za taifa lakini pia Nchi ya Qatar kusimama imara kupiga marufuku tabia hizo katika msimu huu wa kombe la dunia so wengi walitegemea timu hizo zifanye vizuri warudi kivingine kutangaza harakati hizo kupitia Mabingwa watakaopatikana.
Lakini pia kufanya vibaya kwa mataifa mengine vinara yaliyokuwa yanashabikia mambo ya mapenzi ya jinsia moja (LGBTO) ikiwemo USA, Ujerumani, Uingereza, Poland, Ureno na mengineyo kumefifisha ndoto zao za ajenda hiyo kupenya kwenye fainali hizi za kombe la dunia.
Kushindwa kwa mataifa haya ni kushindwa kwa Kampeni ya Ushoga na masuala mengine ya kampeni za LGBTO.
Poleni LGBTO
Lakini pia niwape pole wale Machawa wabantu wanaoteswa na uafrika wao kwa kuhangaika na kushabikia timu ya taifa ambalo liliwafanya watumwa kipindi cha ukoloni, kisa tu kuna weusi wenzao wanacheza huko.