inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Wazungu nao watakushangaa kupiga ban mashoga,watakuona primitiveKuwapelekea hawa washamba kombe la dunia ilikuwa ni kosa kubwa
Hawa waarabu ndio watakaoharibu mpira wa dunia miaka ijayo watatumia pesa za mafuta kumiliki vilabu vyote vikubwa baadae wataingiza sheria zao uwanjani
Hii jamii ya kiarabu ni primitive na haitakuja kubadilika
Hapo wangepiga ban mashoga kuingia katar tu
Unakataza pombe kweli?
Wazungu nao watakushangaa kupiga ban mashoga,watakuona primitive
Hamna tatizo! Watajaa waarabu wenyewe!Itakuwa world cup ya hovyo kuwahi kutokea..refer good memories in south Africa and Brazil..
Itakuwa world cup ya hovyo kuwahi kutokea..refer good memories in south Africa and Brazil..
Duh
Hawajakataza pombe ,isipokua unakunywa sehemu maalumu kuepuka kulewa kupitiliza ukavunja Sheria,Ina maana sehemu hiyo wewe lewa tu ata uvue nguo,na pia ukiwa hotelin pombe unaletewaKilichonikera ni pombe sio kila mnywaji pombe ni mlevi blatter yule Mzee mpumbavu sana
Watarudia tena kuzipa nafasi ya kuandaa mashindano haya nchi zenye mrengo huu kweli !
Na tunasema hivi Qatar washikilie hapohapoHuu ni upuuzi, hata Mungu hatumii nguvu kumbadilisha mtu vinginevyo wewe mwenyewe unhepigwa radi dushe likiwa ndani ya mbususu ukiwa lodge.
Huo wanaofanya Qatar ni dini ya kishamba...namna bora ya kumbadili binadamu ni kumionyesha upendo na tabia njema ili avutiwe kumwamini Mungu wako.
Vinginevyo ni uzuzu tu huku mkiendelea kulipua na kuwalipua watu
Huu ni upuuzi, hata Mungu hatumii nguvu kumbadilisha mtu vinginevyo wewe mwenyewe unhepigwa radi dushe likiwa ndani ya mbususu ukiwa lodge.
PHuo wanaofanya Qatar ni dini ya kishamba...namna bora ya kumbadili binadamu ni kumionyesha upendo na tabia njema ili avutiwe kumwamini Mungu wako.
Vinginevyo ni uzuzu tu huku mkiendelea kulipua na kuwalipua watu
Wapi wewe huko watu wanakazana kama kawa.Na tunasema hivi Qatar washikilie hapohapo
Epukana na chuki dhidi ya dini za wenzako, utakosa Amani bure na kupata stress hapo tunaongelea mpira sio dini za watu.Huu ni upuuzi, hata Mungu hatumii nguvu kumbadilisha mtu vinginevyo wewe mwenyewe unhepigwa radi dushe likiwa ndani ya mbususu ukiwa lodge.
Huo wanaofanya Qatar ni dini ya kishamba...namna bora ya kumbadili binadamu ni kumionyesha upendo na tabia njema ili avutiwe kumwamini Mungu wako.
Vinginevyo ni uzuzu tu huku mkiendelea kulipua na kuwalipua watu