Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

Wapi wewe huko watu wanakazana kama kawa.
Sitetei dhambi bali naongea uhalisia
Sitetei wanachofanya Qatar nakataa unafiki wa Nchi za Magharib wao kila siku wanaua, wanaangusha serikali, ila kwao sio maovu ila wengine wakifanya hivyo ni tatizo.

Nilichojifunza kwa Qatar ukiwa na pesa hakuna fala wa kukupangia maisha na jinsi ya kuishi. Kila kitu unafanya vile unataka
 
Kwenye harakati ya kuzisaka taarifa mbalimbali zinazohusu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar nikakutana na mahojiano za Makapteni wa nchi mbili za Netherlands na England yaani VVD na Harry Kane.

Aisee hawa jamaa hawataki kuelewa kabisa katazo lililotolewa na uongozi wa Qatar kuwa hawataki kuona harakat za aina yoyote za upinde kufanyika nchini Qatar ikiwemo kuvaa bangili za bendera za washkaji.

Jamaa wanalazimisha kabisa kwamba lazima wavae bangili za bendera ya upinde asee. Sijui kuna shida hawa jamaa wa Magharibi kufata taratibu za nchi zingine kwa mwezi mmoja tu wa Kombe la Dunia?

Inavyosemekana leo ikitokea Harry Kane akileta jeuri akavaa upinde mkononi mchezo hautachezwa na wachezaji wa England wamepanga kugoma kucheza na kutoka uwanjanii kabisa.

Hili Kombe la Dunia mwaka huu kazi ipo, acha tuone itakavyokua.

Leo at 4PM Live
 
Wakiondaka watapigwa ban wanao support msimamo wa Qatar ni wengi kuliko hao washoga
 
Ndo mjue kuwa mzungu hulazimisha utamaduni wake uwe utamaduni wa dunia.

Wanapotea mdogo mdogo

Mzungu halazimishi ila wana embrace utamaduni wao. Tatizo ni mataifa husika ku copy kwa hiari yao
 
Inawezekana Afrika kuna malaya na walevi wengi wa pombe kuliko Ulaya, ila kwa kufuata mkumbo na kutaka sifa, tunajidai tunapinga kampeni za pombe na umalaya
 
Kwani huo ushoga wanaosema uko kwenye mavazi basi.
 
Bro kinachofanywa na Uholanzi na uingereza ni kulazimisha mzee,ambae halazimishi angeelewa kwny wenye nchi yao hawatak izo harakati

Unajua kulazimishwa kukoje mkuu?
Its up to wahusika kukubal au kukataa. But then mwenye nguvu hiyo ni mwenyeji.
 
Kila nchi ina taratbu zake bwashee,hao unaowaita washamba wamekuzidi akili mpaka mali
 
Shoga akishazoe mshedede hawezi acha bwashee
 
Shoga akishazoe mshedede hawezi acha bwashee
Mungu hashindwi kitu ataacha tu.
Tuna mifano mingi watu waliokuwa waovu kupitiliza sasa wameacha na wanamtukuza Mungu aliye hai
 
Na tunasema hivi Qatar washikilie hapohapo
tutawabonda waarabu wote jana 2 bila leo wajina weu kala mkono kasoro , tutafanya hv ili mkatunge sheria vzr maana mpira hamjui , mtatunga hadi sheria ya kufuga ndev kila mchezaj wa WC
 
Epukana na chuki dhidi ya dini za wenzako, utakosa Amani bure na kupata stress hapo tunaongelea mpira sio dini za watu.
Qatar wameleta ushamba sana , haya walipaswa kusema tangu awali , hata wazungu wana tamaduni zao ila walipoipokea dunia walikubali kila tamaduni ili kuwafanya wenyej wajihisi wapo nyumban , hao viongoz wa Qatar wakiwa Ulaya ni walevi sana na wapenda malaya sana
 
insh sio pesa insh ni qatar kavizia , na kafanya hv maana anajua hatokuja kufuzu tena kwenda world cup
 
Chomoa taratibu kama inakuumiza Qatar shikilia hapo hapo.
 
Hayo mengine tunaweza kukubali lakini hizo dini ndio hatutaki tutaenzi mila zetu za kiafrika ambazo haziruhusu ushoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…