Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Poleni sana ila ukifanya ushoga ndani ukilewa ndaniHuu ni upuuzi, hata Mungu hatumii nguvu kumbadilisha mtu vinginevyo wewe mwenyewe unhepigwa radi dushe likiwa ndani ya mbususu ukiwa lodge.
Huo wanaofanya Qatar ni dini ya kishamba...namna bora ya kumbadili binadamu ni kumionyesha upendo na tabia njema ili avutiwe kumwamini Mungu wako.
Vinginevyo ni uzuzu tu huku mkiendelea kulipua na kuwalipua watu
Vp MKUU walivaa waligoma !!!??Kwenye harakati ya kuzisaka taarifa mbalimbali zinazohusu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar nikakutana na mahojiano za Makapteni wa nchi mbili za Netherlands na England yaani VVD na Harry Kane.
Aisee hawa jamaa hawataki kuelewa kabisa katazo lililotolewa na uongozi wa Qatar kuwa hawataki kuona harakat za aina yoyote za upinde kufanyika nchini Qatar ikiwemo kuvaa bangili za bendera za washkaji.
Jamaa wanalazimisha kabisa kwamba lazima wavae bangili za bendera ya upinde asee. Sijui kuna shida hawa jamaa wa Magharibi kufata taratibu za nchi zingine kwa mwezi mmoja tu wa Kombe la Dunia?
Inavyosemekana leo ikitokea Harry Kane akileta jeuri akavaa upinde mkononi mchezo hautachezwa na wachezaji wa England wamepanga kugoma kucheza na kutoka uwanjanii kabisa.
Hili Kombe la Dunia mwaka huu kazi ipo, acha tuone itakavyokua.
Leo at 4PM Live
Sawa ila ushoga wenu mubaki nao huko huko kwenututawabonda waarabu wote jana 2 bila leo wajina weu kala mkono kasoro , tutafanya hv ili mkatunge sheria vzr maana mpira hamjui , mtatunga hadi sheria ya kufuga ndev kila mchezaj wa WC
Sawa ila ushoga wenu mubaki nao huko huko kwenu
Kwahiyo wewe ulitaka hao Waarabu wafanyaje?
Waruhusu huo upuuzi wenu?
Kwahiyo kupiga vita rushwa pia ni kuipromote rushwa? kupiga vita dawa za kulevya ni kuzipromote? kupiga vita vibaka ni kuwapromote vibaka?
Eti wameingia mtegoni,mawazo ya kijinga kabisa haya.
Waarabu wanajifcha kwenye ushoga tu ila kusema kweli kupeleka kombe la dunia urabuni ilikuwa makosa
Nje ya muda wa kabumbu ni very boaring
Kwenda kombe la dunia ni zaidi ya mpira ni km upi holiday ila wenyeji wanatambulisha sheria za kipumbuvu mara no bar upuuzi mtupu
Kabiasa MKUUNa mpira bila machoko inawezekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wazibuaji wenyewee ndo hawa hawa wanaokataa humu ndani.Ni simple tu mkuu kuzibua mtalo wa mwanaume mwenzio wala haihitaji imagination ya ukubwa wowote,
ni simple tu kama ilivyo simple kuzibua mtaro wa demu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wameishia wapi?Poleni sana ila ukifanya ushoga ndani ukilewa ndani
Usipofata sheria za qatar ndani
Kama mmekasirika kunyweni sumu mufe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Makamba alisema watu wema hawafi....
Je kama wamemuuaWenzetu wazungu ni wenzetu kwa vile nao ni binadamu.
Majuzi huko Qatar kuna wanaharakati wa ushoga walijitokeza kwa nguvu kueneza maivu yao ya ki Sodima na Gomorah.
Mmoja wao ni jamaa anaitwa Grant Wahl.
View attachment 2444580
Licha ya kuonywa kuwa ni marufuku kuupigia upatu uozo huo hakusikia.
Jamaa ametaka kumchezea Mungu, na siku mbili zilixopita amekufa hata bila kuumwa wala kukohoa.
Acheni Mungu aitwe Mungu.
Nipo msibani my best, ni huzuni kwa kututoka huyu mwenzetu.Amekufa natural death. Maana amefia nchini kwake. Hakufia Qatar!
cocastic my friend, karibu tafadhali utoe pole kwa familia ya marehemu Grant Wahl!
Wamepewa penalty za mchongo lakini wapi ,
Kufuatia Kipigo ilichokipata Ufaransa dhidi ya Argentina katika hatua ya Fainali ya Kombe la Dunia la soka, ni pigo kwa wafuasi wao ambao waliegemeza nguvu zao wakisubiri ushindi huo ili kushindilia zaidi hoja zao za LGBTO .
View attachment 2451061
Hili limekuja baada ya FIFA kupiga marufuku kampeni hizo za Rainbow kwa timu za taifa lakini pia Nchi ya Qatar kusimama imara kupiga marufuku tabia hizo katika msimu huu wa kombe la dunia so wengi walitegemea timu hizo zifanye vizuri warudi kivingine kutangaza harakati hizo kupitia Mabingwa watakaopatikana.
Lakini pia kufanya vibaya kwa mataifa mengine vinara yaliyokuwa yanashabikia mambo ya mapenzi ya jinsia moja (LGBTO) ikiwemo USA, Ujerumani, Uingereza, Poland, Ureno na mengineyo kumefifisha ndoto zao za ajenda hiyo kupenya kwenye fainali hizi za kombe la dunia.
Kushindwa kwa mataifa haya ni kushindwa kwa Kampeni ya Ushoga na masuala mengine ya kampeni za LGBTO.
Poleni LGBTO
Lakini pia niwape pole wale Machawa wabantu wanaoteswa na uafrika wao kwa kuhangaika na kushabikia timu ya taifa ambalo liliwafanya watumwa kipindi cha ukoloni, kisa tu kuna weusi wenzao wanacheza huko.