Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Wonazuoni wanamzidi allah akili?
 
Quran haisemi hivyo.
Labda Kama unaamua kuirekebisha
 
Ww kiande hujawah kuwa muislamu hilo jinà la hamis wanyakyusa kibao makafiri wanatumia sisi tuliobahatika kukaa shule Kwa miaka mingi huwez kutudanganya kwastyle hii
Si ndo hapo hicho kijikafir kinafikiri kila mmoja kichwa panzi ka yeye
Yaani mtu atoke uislam awe mnaswara inawezekanaje?
 
Huo ni uelewa wako lakini
Quran 4:11-12
Inasema
Mke 1/8
Baba 1/6
Mama 1/6
Watoto wa kike wawili 2/3
Laahaula...unatumia Qur an ya kwenye chat CHATBOTS......basi wewe sio rahisi kukuelewesha.....hapo unapokaa kama kuna msikiti na unataka kujifunza waulize mashekhe watakuelewesha vizuri....
hiyo maana mnayotoa kwenye chatbots nyingi ni zile zilizoandikwa na watu kama wewe mtandao
(kwahiyo chatbots anazikusanya halafu anakupa kama end product ya makusanyo yote)(HII NAKUPA MAANA YA NAMNA CHATBOT INAFANYA KAZI)
sasa hapo kwenye chat bot wala usiamini kwa 100% kwenye jambo lolote
KILA LA HERI...
 
Situmii CHATBOT, natumia Suratul An-Nisa Aya ya 11-12
 
Embu tuonesheni biblia ikifunza ugawaji wa mirathi?
 
Hesabu zako haziko sahihi. Ebu rudia kukokotoa upya.
 
Dini ya uislam ipo mbali na Dogmatism na blindly following,sio dini ya kubumba ujue
Uislamu ni dini ya mchongo sana

Kwanini Quran imeiba vingi kwa wasabai Hadi swala 5 ,adhaba ,n.k

Unajua kwanini muhamad alitaka kujinyonga baada ya Waraq kufariki na Wahay kukata?

Yaani anakufa Waraq na WAHAYI UKAKATA ,mudy akataka kujinyonga
 
Hatujui tuambie wewe kwa nini alitaka kujinyonga
 
Mimi hapa nimeleta Quran 4:11-12
Inayosema:
Mke 1/8
Baba 1/6
Mama 1/6
Watoto wa kike wawili 2/3
Jumlisha hizo uone unapata ngapi?
Jibu hoja acha kumshambulia mtu
Mkuu acha ubishi na ujuaji..
Hapo ni wapi kaleta andiko la aya ya 11-12?
Zaidi kaleta mahesabu bila kunukuu hiyo aya? Aya ina assumptions kadhaa, ikiwa hivi, ikiwa vile n.k
Je kwenye swali laleta mada kuna nukuu ya aya?
 
Hujui unachosema.
Huu mjadala wanazuoni wakubwa walushagundua hitilafu wakaja na namna nyingine ya kugawa urithi tofauti na gawio lilivyotolewa na quran
 
Wakiambiwa waislamu wanasoma madrasa(shule kwa kiarabu),WANAONA NI JAMBO JEPESI,KUNA SOMO MAALUMU LINAITWA ILIMU L MIRATHI(ELIMU YA MIRATHI),JINSI MGAONUNAVYOGAIWA.
 
Hakuna Aya inayosema watoto wa kike wagawane fungu linalobaki.
Aya inasema mtoto wa kike apate 1/3 au Kama zaidi ya mmoja wapate 2/3
 
Wakiambiwa waislamu wanasoma madrasa(shule kwa kiarabu),WANAONA NI JAMBO JEPESI,KUNA SOMO MAALUMU LINAITWA ILIMU L MIRATHI(ELIMU YA MIRATHI),JINSI MGAONUNAVYOGAIWA.
Nawaona mnarukaruka tu.
Hoja imesimama pale pale.
Na walioigusa wameleta marekebisho ya Quran kwa maoni ya wazuoni
 
NIWASAIDIE TENA HOJA NI HII:
MGAO WA URITHI KWA MUJIBU WA QURAN 4:11-12
Mke apate 1/8
Baba apate 1/6
Mama apate 1/6
Watoto wa kike wakiwa zaidi ya mmoja wote wapate 2/3
Quran iko wazi kabisa.
Sasa jumlisha hizo zinavuka 1/1
Jibu hoja acha kushambulia hata ukiniita kafiri haitabadilisha uongo wa Quran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…