Issue si kutongozwa, issue kubwa ni kutongozwa na mtu ambae ulijua kuwa rafiki yako tena ni rafiki mkubwa.Mi naona umenena vema,tusitawaliwe na hasira.
Kitendo cha mke kutongozwa alafu wewe unachukia kiasi hiki,je kama angefanyiwa kingine zaidi na ukajua si yangetokea yale ya Mwanza?
Jiulize,utawafokea wangapi?
Kuna muda anasafiri nawe haupo je,hao nao utawafokea?
Zaidi mpe mbinu za kuwakatisha tamaa wale wote watakaojaribu kumfata,na zaidi unatakiwa umwombe akushirikishe kila akikutana na vishawishi.Hii itakuwezesha kumsaidia mbinu za kuwapiga chini tena kwa kuwaaibisha!
Wanaume sisi kwa KE ni mafisi!
Ila wanaume wa kibongo unaendaje kwa mwanamke aloolewa mmewe hayupo unatafuta nin?
Na nyie wanaume kwanin mnazoesha marafiki zenu nyumbani kwa wake zenu onaneni bar inatosha kila mtu arudi kwake,mtu keshoa unaenda kwake kufanya nin
We jamaa naona umeongea ukweli na huyu mleta maada inabidi auzingatie.technically huyo mkeo hajampenda rafiki yako
angempenda asingekwambia
hao ndio wanawake
Ila wanaume wa kibongo unaendaje kwa mwanamke aloolewa mmewe hayupo unatafuta nin?
Na nyie wanaume kwanin mnazoesha marafiki zenu nyumbani kwa wake zenu onaneni bar inatosha kila mtu arudi kwake,mtu keshoa unaenda kwake kufanya nin
Mimi Mzee wangu Kuna kauli aliwahi kuniambia kuhusu marafiki na kila Mara huwa naprove.."Mwanaume Hana marafiki Ila ana jamaa tu,tena haipendezi kupeleka hao unaowaita marafiki nyumbani unajitengenezea bomu"Hata kama sijamuwekea ndio aitumie kwa mke wangu? Mbona wanawake wengi sana ambao hawajaolewa
Kuna ukweli ndani yakeAtakuwa kawachanganya na Dada wa kazi, umeonyeshwa manyoya
Umeongea jambo jemaOgopa sanaa mkeo kukwambia anatongozwa na fulani hivi huyo mkeo muulize tu ni wanaume wangapi wanakutongoza kila siku je huwa unakuja kuniambia umetongozwa? Achana na huo ujinga mwambie alimalize mwenyewe mbona akitongozwa na wengine haji kukwambia. Potezea huo upumbavu fanya ya msingi
Kitemdo tuu Cha kuja kuongea ni kwamba huna huo uwezo wa kumfanya chochote.Usiniongezee machungu nitamfanya mbaya sana
Hilo haliwezi kuwa funzo!!! litakuwa ni kama kosa la barabarani traffic unalipa fine tu yanaisha. Dawa yao hao ni kuchezea linda tuMtengenezee mtego wa kumkamata ugoni. Ukishamkamata mchaji hela kibao ili iwe funzo kwake na kwa rafiki wengine.