Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
[emoji16][emoji16]imeisha hiyoKamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia
Naandika wosia huu kwa vijana wenzangu baada ya kupona maumivu ya kuachana na mwanamke niliempenda sana miezi kadhaa iliyopitaa ila kitu nilichojifunza mwanamke akionekana ameonesha dalili hakuhitaji tena. Mwanamke akifikia hatua amekubadilikia na akaonesha dalili za kutaka kuachana na wewe ni...www.jamiiforums.com
Mpe hiyo link
Pole Sana jamani,uje tu PM tufarijiane mamahaya maisha bhn unaeza hisi unateswa peke ako na mapenzi kumbe una mwenzako [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo sms hata mimi nimetumiwa tofauti ni kwamba rafiki ako ni wa kiume mi ni wa kike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwambie atafute pesa, mapenzi atayapata tu. Nasisitiza, atafute pesa kwa bidii. Wanawake wapo na wazuri hawajazaliwa bado.Huyu ni rafiki yangu Nimeosoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao.....
"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"[emoji2356]
Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Wewe unaweza hiyo shoo ya Sehemu ambayo unajua hutaimiliki?Afanye namna yoyote tu hata kwa gharama afu aombe game ya kuagana..akifika ampige mkia wa haja na baada ya hapo ampe tu kichapo ka mikwenzi na mitama itahusika itapendeza...ila asikamie sanaa kwny kichapo.....hatamaliza hata wk atasahau hadi jina..hi mbinu inasaidia sanaa
Huyo bidada alikuwa anasomea DODOMA?Jamaa bado anampenda bidada.Miaka 12 amemzoea Binti na jamaa alikuwa anajitoa na hadi hatua za Mwisho pia jamaa alikuwa anajitoa pia Kwa bidada
Amuite geto tu ndo sehem poa..hata kama gharama kumshawishi afanye ivo...hakika atajanishukuru..hyo mbinu ina function snaaa...siwez kuacha boya acheze na hisia zangu kwa kipnd chote hicho afu nimuache kinyonge vile..asiponikumbuka kwa uzur wangu atayakumbuka hata makwenziWewe unaweza hiyo shoo ya Sehemu ambayo unajua hutaimiliki?
Jamaa bado anampenda bidada.Miaka 12 amemzoea Binti na jamaa alikuwa anajitoa na hadi hatua za Mwisho pia jamaa alikuwa anajitoa pia Kwa bidada
Amekutana na vichwa vipyaHuyo Bidada ni mwalimu mwajiriwa Sasa anajiendeleza ndio anasoma Degree yupo mwaka wa kwanza
Nilipata kuisikia hadithi ya 'Aladini na taa ya ajabu' hapo zamani kidogo. Hadithi hii yenye asili kutokea huko arabuni ni mashuhuri sana kiasi cha kuwa 'adopted' kwenye filamu mbalimbali za ukaragushi na hata za kawaida.Huyu ni rafiki yangu Nimeosoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao.....
"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"[emoji2356]
Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
HahahahahahahaAmekutana na vichwa vipya