Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

Kuna alliyebipu wakati fulani nikampigia... Baada ya miaka nane sasa analia lia

Duh na bado unamfwatilia maisha yake hadi kujua kwamba analia lia baada ya miaka yote hiyo ? Miaka 8 na unajua habari zake bado ?
 
Duh na bado unamfwatilia maisha yake hadi kujua kwamba analia lia baada ya miaka yote hiyo ? Miaka 8 na unajua habari zake bado ?
Jiongeze mbona unafeli atakua amemtafuta jamaa kupitia marafiki au ndugu ajabu ni nin hapo
 
Kabila gani huyo msichana?
 
Unamcheka ya nin kwa mfano ni swala ambalo linaweza tokea kwa mtu yeyote yule, linaweza lisikutokee wewe linaweza mtokea mdogo ako, au kaka ako, au rafiki yako au ndugu yako
bado hujawajua vizuri members humu. Jitahidi kuwajua vyema. unaweza kuta jana tu kuna memba katuambia yupo kwenye mapenzi mazito shata shata,katuringishia mbaya sana. Halafu leo atadhubutu kusema kapigwa na kitu kizito?
 
Ninachokiamini watu wengi sana wanaishi na wanawake ambao mioyo yao na mapenzi yao ya dhati (yale natural) yapo kwa wanaume wengine. Mwanamke akipenda kusahu mwanaume wake ni kazi kubwa mno, ndomaana unapokuwa na mwanamke ambae haujamkuta bikra kitu kikubwa cha kuombea ni asikutane na yule mwanaume anaempenda katika historia ya maisha yake.

Unakuta mwanamke umempata labda kwasababu jamaa ake hakuwa akimjali , au labda waliachana kwa uzuri tu na mshikaji wake kutokana sababu mbalimbali za kimaisha. Ikitokea mwanaume kaamua kurejesha majeshi kwa huyo mwanamke kwa kuonyesha kwamba anamjali na kumheshimu tofauti na zamani alafu labda ukute alishakuwa vizuri kiuchumu......aiseeeh hata mimba atambebea wakati yuko na wewe.

Mimi kuna mwanamke yule hata aende wapi atabaki kuwa wangu tu, hata nimtukane vipi hasikii chochote, na kila nikikutana nae hataki kabisa kutumia Condoms anadai haogopi hata kubeba ujauzito wangu.

Amini kwamba huyo jamaa alikuwa anapenda asiopendwa, na ndomaana hata shoo alikuwa anapewa partially.
 
Kidogo Sana.Maana Bidada alikuwa anamkwepa mshikaji muda mwingi,ila sababu ikawa haiwekwi wazi.Ndio Mwisho wa siku Mwaka huu 2022 Bidada kamwambia jamaa ukweli
Sasa hapa utakuta jamaa ndo alizidi kumpenda mwanamke kwa kuhisi kwamba hapendelei sana kupigwa mbupu labda akakichukulia kama kigezo cha uaminifu wake, kumbe kuna mwingine huko anapewa kila anapotaka tena kwa kulazimishwa na kuulizwa

"sikuhizi sikuvutii, mbona unakwepa kulala na mimi?"
 
Hahahahahah mdau uko Sahihi kabisa ulisemalo
 
Afurahi tu. Mi mtu mkweli nampenda sana tena uwe ukweli mchungu ndio safi kabisa.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hana haja ya kuumia ukweli ni jambo jema na inampasa amshukuru kwa kuweka wazi hisia zake safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…