Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

Ukisikia uanaume ndo huo sasa, Lazima mwanaume uwe jasiri na hakuna ujasiri kushinda huu wa kumkabidhi mtu mliyekutana ukubwani maisha yako.
Hapo michepuko marufuku.
 
Kwani wewe ni mwanafamilia wa hiyo familia mpaka kuulizia habari usahihi wa mipango yao ?
Embu fanya kumfuatilia kuhusu michango sio umbea umbea wa kijinga kijinga hapa
 
Yuko sahih kbsa kuna mke wa jmaa mmoja huwa nanaipa pesa sna na mke hana kaz you're ila hiz laki laki mbili nimezila sna bila kurudisha
 
wanakuaga kama wale mbu wa usiku wanazunguka masikioni, hiyo ndio njia pekee kama unataka peace of mind
 
Huyo ni mwanaume bora na mfano wa kuigwa katika jamii, Mungu anipe kama huyo
Mnapenda mapoyoyo kama hao.
Ene wei, ni vizuri maana pesa ya familia inakua salama. Sisi wanaume hua tuna mambo mengi. Shida huja mnapokua na upendeleo, mnafanya ya upande wa kwenu tu. Likitokea tatizo kwetu mnachuna kwamba hamna pesa ila likitokea kwenu mnalishughulika chap.
 
Kazi anafanya yeye au wewe kaka? Iweje anaefanya kazi kaona sawa wewe roho ikuume hadi uanzishe uzi?

Alikuomba hela?

Unajua hadi mishahara ya wanaume wenzio alafu unataka ku compete na mkewe kupanga matumizi!
 
Kazi anafanya yeye au wewe kaka? Iweje anaefanya kazi kaona sawa wewe roho ikuume hadi uanzishe uzi?

Alikuomba hela?

Unajua hadi mishahara ya wanaume wenzio alafu unataka ku compete na mkewe kupanga matumizi!

Mkuu sijaumia

Kama umeona huko mwisho nimetaka kujua je hiyo ni kawaida au lah hasa kwa watu walioko kwenye ndoa

Kosa langu ni lipi mkuu?
 
Yuko sawa Mkuu!Kampa kadi kajiweka pembeni na matumizi ya hapo nyumbani mshahara ukiingia mama anatoa wote.Anachofanya jamaa yako ni kuvuta salary advance na kuila alafu mke hajui.Hiyo mbinu inatumika sana na wanaume.
 
Mkuu kwa mfano una mtoto wako wa kiume alafu akawa anafanya kama huyo jamaa hapo. Utakubali?

Yaani akitaka kukutumia hela ruhusa ni lazima itoke kwa mke wake ambaye ni mkwe wako
Hakuna shida wote ni wanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…