Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

Mada Hapo si kuingilia Mambo ya ndoa,tumeulizwa swali ni sahihi kufanya hivyo
 
Siku akija kulia na kusaga meno ushauri wenu utakuwa ni wa kumkosoa amin nawaambia!!
 
UZEZETA PRO MAX.

Hata mimi siku nikichongewa KADI YA BENKI nitamkabidhi mume wangu Mbaga Jr

Mshahara wangu wote namkabidhi yeye anitunzie kwa ajili ya maendeleo ya kifamilia.

Chukua hela zote baba, kula.
 
Da jamaa yangu mmoja yeye juzi mkewe kachukua kadi yake,jamaa kaitafuta mno akajia imepotea baada ya siku kadhaa mwanamke ndio anamwambia jamaa kuwa allichukua yeye kadi,na hela kule katoa kwa ajili ya ada ya watoto,yeye jamaa ni Chapombe mno
 
Hata mimi siajwahi chukua mshahara wangu ni mwaka wa 3 sasa.
Sema mimi kazi yangu ina marupurupu ya kutosha hivyo nina akaunti mbili za kwangu pembeni i.e moja anaifahamu ingine haifahamu.

Nb:...sababu najua salary yangu huwaga kila baada ya miezi 6 naletewa bank balance.
 
Inasaidia sana kupunguza kelele kwa sisi wapenda kujirusha weekend.
 
Kati ya mke/mme na rafiki, unahisi ni nani bora kwako?
 
Ndio
 
Ila kwa jamaa namshauri;- kama anafanya kweli hivyo, ajitahidi sana kumzalisha watoto wengi huyo mkewe kwa usalama wake huko mbeleni.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ