Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
-
- #41
Born 2000, Joined 2024 Dec. Akili kisoda
Moderator wana jikuta mastaaKwamba hautakubali mwanaume yoyote azikwe bila kutahiriwa ukiwa unafanya kazi mochwari hilo ndo kosa la kupigwa ban?
Hebu itume tena hiyo kauli ili tuone kama ni kweli.eti kauli ya I still repeat, ndio chanzo
Mungu nifundishe kunyamaza πHebu itume tena hiyo kauli ili tuone kama ni kweli.
π
Mkuu JISHIKILIE wewe........ utakuja kutongoza wanaume wenzio mitandaoni humu EBOOOOKwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana.
Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani.
Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili gurudumu la maisha.
Marry nataka uwe mke wa Kijana Masikini rais ajae wa chama cha majobless pro max.
usizingatie porojo za yeyote atakae taka kudhoofisha hili jambo.
{{{Ilove you Marry Diana}}}
Ameen kiongoziKijana Masikini hua nakuona ni kijana mwenye heshima hapa JF
Nikutakia kila la kheri kwenye ombi lako kwa Marry Diana
Sawa mkuu.Mkuu JISHIKILIE wewe........ utakuja kutongoza wanaume wenzio mitandaoni humu EBOOOO
Na unyamaze tu mutu ya mochwari πππMungu nifundishe kunyamaza π
Dah hii sio hakiππ€£Na unyamaze tu mutu ya mochwari πππ
I repeat......Dah hii sio hakiππ€£
Mambo ya JF hayo. Mtu mmoja mwenye ID mbili akijitekenya na kucheka mwenyewe.Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana.
Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani.
Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili gurudumu la maisha.
Marry nataka uwe mke wa Kijana Masikini rais ajae wa chama cha majobless pro max.
usizingatie porojo za yeyote atakae taka kudhoofisha hili jambo.
{{{Ilove you Marry Diana}}}
I still repeatI repeat......
Sio haki πππππ
Una hamu ya kupumzishwa tena ππππI still repeat
No man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary ππ¦
ππ¨Mambo ya JF hayo. Mtu mmoja mwenye ID mbili akijitekenya na kucheka mwenyewe.
Buroo usitoe code bado mapema...Marry unajitongoza au sio.....
Bro namba yako ninayo nita kupigia ππ€£Una hamu ya kupumzishwa tena ππππ
Niombe Ms R ili Marry akubali ombi hili ambalo litakuwa na faida kwetu na kwa wana JA kwa ujumla.ππ
umeshampata tayari, usisahau kutualika kula ubwecheNiombe Ms R ili Marry akubali ombi hili ambalo litakuwa na faida kwetu na kwa wana JA kwa ujumla.