Rai kwa vyama vya upinzani Tanzania: Daini Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2020!

Inaonekana huzijui siasa za Kenya kabisa kule hakuna chama dola kma hku huyo musyoka na odinga walikuwa serikali iliopita ilihali ruto akiwa mpinzani ghafla Leo musyoka mpinzani alafu ruto yupo chama tawala ssa usishangae 2020 ruto akawa mpinzani tena NASA alafu musyoka akawa mgombea urais wa Jubileee hivyo usikariri siasa za hapa au Uganda ukalinganisha na kenya wenzetu walishavuka kwenye uchama wanaangalia mtu basi
 
Mkuu IEBC ilikuwa very clear kuwa uchaguzu wa marudio utafuata uamuzi wa kesi ya dhidi ya IEBC mwaka 2013 ilioamua kuwa uchaguzi ukirudiwa basi aliyepinga matokeo na aliyekuwa ameshinda ndio Watagombea na ikaenda mbali ikasema mmoja akijitoa uchaguzi utafutwa Ssa kwa maana hyo uchaguzi ulishafutika toka juzi odinga alipojitoa so hyo ndio janja yao mkilazimisha wataenda mahakamani na uchaguzi utafutwa tena hivyo hizo link hazina msaada wowote kwa ssa msubirie uchaguzi mpya ndani ya siku 90
 
Embu acha upotoshaji mkuu wwe ndio huelewi kitu kuhusu kenya nakubali siasa ni za ukabila ila je ukabila unatosha kukupa wafuasi wengi!! kumbuka kuna makabila 42 ssa wajaluo ni 12% na wakikuyu ni 21% sasa hapo kivp Kenyatta au odinga watashinda???

Kma ni ukabila kivp wakisiii ambao ni ndugu ya wajaluo walimpa kura Kenyatta ingawa magavana walitokea upinzani??? Au kivp Nairobi walimpa ushindi raila ambaye ni mjaluo ilihali gavana wakampa jubilee ilioweka mkamba??

Haya musyoka ni mkamba mbona kitui na machakos walimtupa kma unadai ni wafalme???

Haya unayemuita mfalme wa wamasai anamuunga mkono mkikuyu ssa ilikuaje Narok umasaini wakampa mjaluo?

Mkuu kma huelewi mambo ni vzuri kukaa kimya au uulize maana utajidhalilisha tu nimeshasema Kenya sio waoga kma hku sio wanasiasa tu ila angalia walimu wao au waandishi wa habari au wanasheria au madaktari huwa wakiamua wameamua na wwe unafaham hilo ila cjui kwanni unajificha kwenye ukabila wakati ukiwa na kabila kubwa vp kma hawako jasiri huwezi toboa kenya
 
Hongera yako unayezijua siasa za nchi zote. Kumbe Kenya watakuwa na uchaguzi mwaka 2020!
Asante na kwaheri.
 
Naona kama kitakamchotokea odinga ni kama kilichomtokea seif kule zanzibar kwa shein
 
Naona kama kitakamchotokea odinga ni kama kilichomtokea seif kule zanzibar kwa shein
Mkuu, ukichomeka hoja hii wanasiasa wetu wa humu JF wanakataa. Wamemkana hadi Uhuru Kenyata eti hawamsapoti kwenye uchaguzi huu (kinyume na matamko ya Lowasa & Mbowe). Watanzania tunaweza sana siasa za "kula mingo".
 
Haya endeleeni kushiriki na halafu mkishindwa muanze kulia tume haiko huru.
Kwa hiyo kwa akili yako chadema wasiposhiriki cuf lipumba haitashiriki? Vyama washirika wa ccm km cha mrema, cha cheyo, cha cck, cha yule mpare n.k hawatashiriki? Na wakishiriki si watakuwa wameuhalalisha huo uchaguzi? Fikra zako ni finyu sana! Pambaf
 
Mkuu, ukichomeka hoja hii wanasiasa wetu wa humu JF wanakataa. Wamemkana hadi Uhuru Kenyata eti hawamsapoti kwenye uchaguzi huu (kinyume na matamko ya Lowasa & Mbowe). Watanzania tunaweza sana siasa za "kula mingo".
Tatizo kuna baadhi ya wanasiasa wana mihemuko ya kisiasa kutikana na mtu fulani akisgaona upepo umemnyokea yaani baadhi hawana msimamo kwenye siasa
 
Mkuu bado unasimamia hio kauli? Nimesikia uchaguzi unaendelea bila Raila....
 
Sasa washiriki wasishiriki kama kuibiwa kupo hamna faida yoyote. Afadhali ruzuku yao waitoe ifanye maendeleo mengine.
 
Mkuu, ukichomeka hoja hii wanasiasa wetu wa humu JF wanakataa. Wamemkana hadi Uhuru Kenyata eti hawamsapoti kwenye uchaguzi huu (kinyume na matamko ya Lowasa & Mbowe). Watanzania tunaweza sana siasa za "kula mingo".
Hivi hizi ID feki unaweza jua nani chadema au ccm?? Matamko ya kumuunga mkono Kenyatta yalitolewa na kamati kuu sasa ni lini kamati kuu imekana kumuunga mkono Kenyatta au cku hizi kamati kuu ya chadema ipo JF??

Hivi unapotosha kwa faida ya nani??
 
Hongera yako unayezijua siasa za nchi zote. Kumbe Kenya watakuwa na uchaguzi mwaka 2020!
Asante na kwaheri.
Jikite kwenye hoja sio typing errors kma hauna hoja ni heri ukae kimya kuliko kupotosha waTZ wasiozifaham siasa za kenya
 
Jikite kwenye hoja sio typing errors kma hauna hoja ni heri ukae kimya kuliko kupotosha waTZ wasiozifaham siasa za kenya
Povu la nini sasa wakati uliandika kwa kuchemka wewe mwenyewe! Aliyepotosha ni nani sasa kama sio wewe na hiyo 2020 ya Kenya? Au kuna mtu alikushikia keyboard? Makamanda wa kisasa (Lowasa Era) mbona mna mambo!
 
Hoja zikiisha unaanza kukimbilia mpka punctuation marks cjui unadivert mada ili iweje?? Next tym ukichangia mada za mambo usiojua chukua muda utafiti sio unakuja kishabiki unajidhalilisha tu
 
Hata wale majaji waliteuliwa na Uhuru, Odinga atashindwa kwa ujinga wake wa kujifananisha na pombe
 
SISI LENGO LETU NI RUZUKU MKUU HAYO YA ODINGA NI HUKO KENYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…