Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ha ha ha!Ngoja nisubiri kidogo kabla sijatoa neno, isije kuwa habari ya kuzusha tukaanza kutafuta uvungu wa kujificha.
Alikuharibu sana....poleMwendazake aliharibu nchi katika kiwango ambacho hakijawahi kutokea.
Wanasheria uchwara bana... kazi kwelikweli!. Issue ya Paul Makonda na Sabaya ni vitu viwili tofauti!. Huo unaosemwa ni uvamizi wa kuvamia Clouds Media, haukuwa uvamizi chochote wala lolote ndio maana Nape alitumbuliwa.Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
View attachment 2010908
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya
Jinai haina ukomo. Wale watesaji wa Dr Ulimboka nao wafikishwe mbele ya sheria badala ya kuendelea kutafuna kodi zetu.Nchi hivi sasa inatenda haki Mbowe Gaidi Jela,Sabaya Jambazi jela ,sasa DAB zamu yake
Wamempiga chini....? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio huyu mpaka leo hajalamba uteuzi.
Mvua 30 kaanza kuzipata jambazi mwenzenu Sabaya hivyo siyo ajabu akizipata mwingine maana itakuwa ni zilipendwa tu au marudio.Sasa mwamba baada ya hicho kitu kizito 6x6 kunamsubiri. Mvua 30 si mchezo
Pia alipokea mshahara kwa kutumia vyeti fekiKuna wale waliobambikiziwa kesi za madawa ya kulevywa na waliporwa fedha zao!
Bado wale waliporwa nae kipindi cha Bureau de Change!
Waliodhalilishwa nae kwa kabila zao na Kanda zao!
Bado wale waliodhulumiwa 'haki zao za kuishi' na huyu hayawani!
Msumeno daima unakata pande zooteJinai haina ukomo. Wale watesaji wa Dr Ulimboka nao wafikishwe mbele ya sheria badala ya kuendelea kutafuna kodi zetu.
This was bound to happen, it was just a matter of time.Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
View attachment 2010908
====
Tulia mnyooshweKwakuwa mfadhili wenu ameshakufa ndiyo leo mnamuona Makonda hana faida tena kwenu?
Ama kweli uvccm ni watu wale wa aina ya KULA KWENDA.
Wananyooshwa wazazi wako maana kukuleta mtu kama wewe hapa duniani ndiyo maana tanzania ni masikini.Tulia mnyooshwe
Mashahidi kama watajitokeza itakuwa ni balaa, watu wameporwa sana na kuchangishwa fedha kinguvu.Kosa linaloitwa matumizi mabaya ya madaraka ni gumu kulitolea ushahidi mbele mahakama ya haki bila kuonyesha kuwa alitumia madaraka hayo kujinufaisha yeye binafsi na familia yake.
Akitumia madaraka hayo kukutisha linaweza liswe kosa la jinai bila viongezi vingine.
Jinai ni ya serikali, sasa DPP atakubali kumpeleka mahakamani? Salary Slip Erythrocyte naomba msaada hapa. Huyu kibaka aliwatesa wengi sana. Hata na Mh Mbowe alimsingizia upuuziKama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
View attachment 2010908
===
Kibaraka wa makondaJenerali Ulimwengu ameamua rasmi hili gazeti liwe tabloid sasa kama ya Shigongo. Hakuna tena zile makala za kiuchambuzi mtu unasoma unaridhika. Sad!
Tabloid ina nafasi nyeti katika jamii. This is news kwa atrocities alizozifanya huyo Kibaka makondaJenerali Ulimwengu ameamua rasmi hili gazeti liwe tabloid sasa kama ya Shigongo. Hakuna tena zile makala za kiuchambuzi mtu unasoma unaridhika. Sad!
Then you ou're in for a big surprise, it's like you have no idea.Porojo tu hizi
Huyo ni Kipenzi cha mama hicho
Chawa wa makonda huyoGazeti haliaminiki vipi wakati ndilo lilituletea uovu wa Sabaya ule uliokuwa haujulikani..
Tena bora hilo litakuwa kosa jepesi kwake, yako makosa alitenda amuombe Mungu amuepushie mbali asishtakiwe nayo.