Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ha ha ha!Ngoja nisubiri kidogo kabla sijatoa neno, isije kuwa habari ya kuzusha tukaanza kutafuta uvungu wa kujificha.
Sukuma ndani tu huyo Makonda.
Hapo ndio tutajua Bashite si Makinda.