Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.

View attachment 2010908
====

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya
Wanasheria uchwara bana... kazi kwelikweli!. Issue ya Paul Makonda na Sabaya ni vitu viwili tofauti!. Huo unaosemwa ni uvamizi wa kuvamia Clouds Media, haukuwa uvamizi chochote wala lolote ndio maana Nape alitumbuliwa.

Ili jinai itendeke na kufikishwa mahakamani jinai hiyo ni lazima iripotiwe na uchunguzi ufanyike. Hilo tukio la uvamizi wa Clouds, jee kuna yoyote aliyelalamika popote?.

Naendelea kusisitiza Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .


Na hili gazeti lipuuzwe!.

P
 
Nchi hivi sasa inatenda haki Mbowe Gaidi Jela,Sabaya Jambazi jela ,sasa DAB zamu yake
Jinai haina ukomo. Wale watesaji wa Dr Ulimboka nao wafikishwe mbele ya sheria badala ya kuendelea kutafuna kodi zetu.
 
Sasa mwamba baada ya hicho kitu kizito 6x6 kunamsubiri. Mvua 30 si mchezo
Mvua 30 kaanza kuzipata jambazi mwenzenu Sabaya hivyo siyo ajabu akizipata mwingine maana itakuwa ni zilipendwa tu au marudio.
 
Kuna wale waliobambikiziwa kesi za madawa ya kulevywa na waliporwa fedha zao!

Bado wale waliporwa nae kipindi cha Bureau de Change!

Waliodhalilishwa nae kwa kabila zao na Kanda zao!

Bado wale waliodhulumiwa 'haki zao za kuishi' na huyu hayawani!
 
Kuna wale waliobambikiziwa kesi za madawa ya kulevywa na waliporwa fedha zao!
Bado wale waliporwa nae kipindi cha Bureau de Change!
Waliodhalilishwa nae kwa kabila zao na Kanda zao!
Bado wale waliodhulumiwa 'haki zao za kuishi' na huyu hayawani!
Pia alipokea mshahara kwa kutumia vyeti feki
 
Safi sana wooote waliopata madhira kwa uyu bwana wajitokeze aiseee
 
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.

View attachment 2010908
====
This was bound to happen, it was just a matter of time.
KUMEKUCHA NA MAKUCHA YAKE.
Mwamba wa extortion kaingizwa kwenye kumi na nane.
 
Kosa linaloitwa matumizi mabaya ya madaraka ni gumu kulitolea ushahidi mbele mahakama ya haki bila kuonyesha kuwa alitumia madaraka hayo kujinufaisha yeye binafsi na familia yake.

Akitumia madaraka hayo kukutisha linaweza liswe kosa la jinai bila viongezi vingine.
Mashahidi kama watajitokeza itakuwa ni balaa, watu wameporwa sana na kuchangishwa fedha kinguvu.
 
Jenerali Ulimwengu ameamua rasmi hili gazeti liwe tabloid sasa kama ya Shigongo. Hakuna tena zile makala za kiuchambuzi mtu unasoma unaridhika. Sad!
Tabloid ina nafasi nyeti katika jamii. This is news kwa atrocities alizozifanya huyo Kibaka makonda
 
Kwetu CCM kama ni kweli basi ni jambo jema Sana. CCM hoyeee
 
Gazeti haliaminiki vipi wakati ndilo lilituletea uovu wa Sabaya ule uliokuwa haujulikani..

Tena bora hilo litakuwa kosa jepesi kwake, yako makosa alitenda amuombe Mungu amuepushie mbali asishtakiwe nayo.
Chawa wa makonda huyo
 
Back
Top Bottom