Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Aisee umesema jambo kubwa na la msingi sana ambalo ndiyo chimbuko na chanzo cha viongozi wengi kuwa wakatili sana.
 
Hili mbona liko wazi, katafutwa tu mtu wa kumvalisha paka kengele lakini kila kitu kiko on set with all the blessings, support and backups from those who are running the system.
 
Huyo yupo live kwenye CCTV na askari/watu wenye silaha wakiingia kituo cha Televion/Radio kwa nguvu kulazimisha ujinga wao
Wamepanga kuanza na hii ambayo ushahidi uko dhahiri shahiri kama jinsi ulivyonaswa na CCTV cameras.
 
Huyu akipelekwa ubaoni hachomoki especially hilo kosa la matumizi mabaya ya madaraka watamdaka mapema mno maana alikuwa anasumbua watu then mwishoni hakuna kinachotokea zaidi ya kuwapakazia watu Mambo ambayo amekosa ushahidi.
Hicho kitu hakipo, ni magazeti na mitandao tu ndiyo inayojifurahisha kuandika taarifa za huyu mtu
 
Hicho kitu hakipo, ni magazeti na mitandao tu ndiyo inayojifurahisha kuandika taarifa za huyu mtu
Naona amegundua hasikiki akaamua kujipa promo mpuuzi sana. Nimeuliza kwa majamaa zangu ofisi ya DPP wanasema hakuna hiyo kitu kwao labda io kwingine may be PCCB hukoambao nap walishatoa statement kwamba hawajamdaka na hawana ishu nae .
 
Duuu wanamisha magoli......tuhame nae tuache ya msingi.....basi sawa mleteni huyo....tuhangaike nae
lambowe Hilo nikubwa kwani lauonevu akati akina makonda watakua na makosa ya uhalali kwa makonda tutakua tunasubiria tarehe yahukumu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…