Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Aisee umesema jambo kubwa na la msingi sana ambalo ndiyo chimbuko na chanzo cha viongozi wengi kuwa wakatili sana.Ujisahau Sana wakiwa madarakani udanganywa Sana na waganga kwa kupewa utabiri hewa Ili waliwe pesa zao,alifanya upumbavu bila kutazama kesho,akiamini boss wake atatawala milele au hadi 2045 then anapewa yeye hadi maisha, kutumainia ndumba mbaya sana upunguza Sana uwezo wa kufikiri thus watawala wengi ufanya mambo ya kipumbavu mengi Sana wakiwa madarakani kwa kudanganywa na waganga.Mganga ni mtu tu hana uwezo wa kuicomand au kuibadili au kuizua nature isifanye Kazi yake.