Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.

View attachment 2010778
Kwa Systems za Mataifa yanayojielewa na yasiyotaka Upuuzi Mtu kama huyu hivi sasa angekuwa Anaoza tu Udongoni, ila ya Tanzania ilimlea, ilimdekeza na akaharibu mambo mengi mpaka Kugharimu Utendaji wa Hayati na iliyokuwa Serikali yake.
 
Itamuongezea kujiamini mama Samia kama kweli atafikishwa kwenye mahakama
 
Huu ndio uhuru na Demokrasia tuitakayo, yaani gazeti linajiandikia tu habari zisizoeleweka...sasa hapo ukisoma habari yenyewe kichekesho...

Kwa mujibu wa mtonyaji wetu....halafu front page kabisa...
 
Back
Top Bottom