Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipara kipya!Hata wewe pia!
Zamu yako yaja!Huyo ilikuwa ni suala la muda tu ili aionje radha na uzuri wa jela.
Aliwasingizia watu wasiyo na hatia na kuwaweka ndani kisa babake yupo ikulu.
Akushitakiwa nitakuwa wa kwanza kushehekea tena bila kificho.
Debe tangu lini likahifadhi kumbukumbu wewe!Nakumbuka sana jinsi alivyo wapakazia kina Mbowe na kina Majizo na Manji kesi za madawa ya kulevya.
Jamaa alikuwa anajioni ni Mungu mtu wakati Mungu hana tabia za kiuwaji kama huyu .
Utazizima peke yako!Makonda siku akifikishwa mahakamani jiji la dar litazizima kwa furaha
Mchawi mkubwa wewe!Hivi anaweza kumteka rafiki yake kweli?
Wengine pia wapo mahakamani!Ashitakiwe na yoote ili naye apigwe 30yrs
Si ufanye sasa umetoka jando!Nitafanya sherehe kabisa
Salama mkuu,shwari!Mkuu habari yako
Tuliza kidonda wewe mlinzi wa kaburiSi ufanye sasa umetoka jando!
Sema upo lindoni rubondoSalama mkuu,shwari!
Mjomba wako makonda ataning'inizwa kwa pilatoWengine pia wapo mahakamani!
Looo leo hii aliyekupatia jero ya kununulia bundle ametutafutia balaaMchawi mkubwa wewe!
Jiji litazizima baada ya jambazi kupelekwa segereaUtazizima peke yako!
Debe tupu lipo chini ya futi lukukiDebe tangu lini likahifadhi kumbukumbu wewe!
Sasa hivi ni zamu yenu kuteseka nyinyi sukuma gang.Zamu yako yaja!
Neno jinai haifi linamtesa Sana bashite maana ajui hatima ya future yake hata kama analindwa na mama sasa hivi.Siku zaja aliowaumiza ndo watashika mpini.Mjomba wako makonda ataning'inizwa kwa pilato
SahihiNeno jinai haifi linamtesa Sana bashite maana ajui hatima ya future yake hata kama analindwa na mama sasa hivi.Siku zaja aliowaumiza ndo watashika mpini.
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri kwa kukupa matumaini feki